Madereva Taxi Na Bodaboda Wapewa Somo Na Jeshi La Polisi Mkoani Kagera

Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Kagera, Marson Mwakyoma (mwenye shati la drafti) akiwapa somo waendesha magari yanayobeba abiria wakati akitoa elimu kwa madereva kwa njia ya vitendo iliyotolewa na kikosi hicho jana kwa kushirikiana na Chuo cha Lake Zone kwenye viwanja vya Gymkana vilivyoko katika manispaa ya Bukoba, kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo cha Udereva cha Lake Zone, Winston Kabantega na kulia kwake ni PC Mwinyi mkaguzi wa magari.

Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Kagera, Marson Mwakyoma akitoa elimu kwa njia ya vitendo kwa waendesha pikipiki zinazobeba abiria katika manispaa ya Bukoba, kushoto kwake ni Mkaguzi wa Magari wa Kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Kagera, PC Alexander na mwenye suti ni Mkurugenzi wa Chuo cha Udereva cha Lake Zone, Wiston Kabantega, elimu hiyo ilitolewa kwenye viwanja vya Gymkana, elimu hiyo ni sehemu ya mikakati ya jeshi la polisi ya kupambana na ajali mkoani Kagera.

Marekani Yapiga Jeki Tanzania Kuendeleza Kilimo Kusini Mwa Nchi

Serikali ya Marekani ya Rais Barack Obama, Ijumaa ya Januari 28, 2011,
ilitangaza kuwa inatoa kiasi cha dola za Marekani milioni mbili (sawa
na zaidi ya sh bilioni mbili) kwa ajili ya kuanzisha mfuko wa
uwezeshaji wa Mradi wa Uendelezaji Kilimo Kusini mwa Tanzania wa
Southern Agricultural Growth Corridor of Tanzania (SAGCOT).

Hatua hiyo ya Serikali ya Marekani ambayo kwa pamoja na Serikali za
Tanzania na Vietnam inasaidia kusukuma utekelezaji wa mipango mipya ya
kuboresha kilimo katika Tanzania na Vietnam, chini ya visheni mpya ya
“A New Vision for Agriculture”, ni moja ya hatua nyingi
zilizochukuliwa na Serikali hiyo kuunga mkono jitihada za Tanzania
kufanikisha Mradi huo.

Mchango huo mkubwa wa Marekani ulitangazwa jana na Mtendaji Mkuu na
Mtawala wa Mfuko wa Misaada ya Maendeleo ya Kimataifa wa Marekani
(USAID) Dkt. Rajiv Shah wakati alipoungana na Rais Jakaya Mrisho
Kikwete katika kuutangaza Mradi huo kwenye mkutano wa kimataifa wa
waandishi wa habari mjini Davos, Uswisi.

Katika mkutano huo wa waandishi wa habari ambako Dr. Shah pamoja na
viongozi wengine wakuu wa mashirika makuu ya kibiashara 17 duniani
wanaoshiriki katika utekelezaji wa Mradi huo waliunga na Rais Kikwete,
kiongozi huyo wa USAID alitangaza:

“Tunakushukuru Rais Kikwete kwa kutushirikisha katika mkutano huu wa
kwako na waandishi wa habari hasa wakati huo ambako bei za vyakula
duniani zinaonyesha dalili za kuanza kupanda tena. Marekani inayo kila
dhamira ya kuunga mkono Mradi huu ili uweze kufanikiwa na kufikia
malengo yake,” alisema Dkt. Shah na kuongeza:

“Ili kuonyesha dhamira ya Serikali ya Marekani katika kuunga mkono
Mradi huu, ninayo furaha ya kutangaza mchango wa nyongeza wa Marekani
katika mfuko wa uwezeshaji wa Mradi huu wa kiasi cha dola za Marekani
milioni mbili.”

Tanzania inahitaji kiasi cha dola za Marekani milioni 50 kama mfuko wa
kuanzisha SAGCOT ambayo uwekezaji wake unatarajiwa kufikia kiasi cha
sola za Marekani bilioni 3.4 katika miaka 20 ijayo. Mradi huo
unatarajiwa kutekelezwa katika mkoa ongozi katika kilimo cha chakila
ambayo ni Morogoro, Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma.

Mshiriki mwingine kwenye mkutano huo na waandishi wa habari, Hugh
Grant ambaye ni Mwenyekiti, Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Mansanto ya Marekani inayojihusisha na kilimo duniani alisema kuwa
mpango huo wa kilimo katika Tanzania na Vietnam utatumia mbegu za
asili katika nchi hizo na siyo mbegu zilizotengenezwa kisayansi za
GMO.

“Kwa sasa mipango yetu ni kutumia mbegu za jadi katika nchi hizo mbili
– mbegu za asili, mbegu safi, mbegu zinazoweza kuhimili magonjwa na
wadudu katika nchi hizi mbili. Hizi ndiyo mbegu zinazoweza kuwa za
maana katika Mradi huu.“ Grant aliwaambia waandishi wa habari.

Kuhusu uwezekano wa makampuni 17 ya kimataifa yanayoshiriki katika
kufanikisha Mradi huu kupanga bei za mazao yatakayozalishwa chini ya
Mradi huu, Rais Kikwete aliwaambia waandishi wa habari:

“Kiasi kikubwa cha mazao kitakachozalishwa chini ya Mradi huu kitakuwa
kwa ajili ya kuhakikisha kuwa Watanzania wanapata chakula cha kutosha.
Kama kuna ziada, basi bei za mazao hayo ya ziada, zitaamuliwa na
kiwango cha bei kwenye soko la kimataifa.”

Naye Paul Polman, Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Unilever katika
Uingereza alisema kuwa mazao yatayozaliwa katika Tanzania chini ya
Mradi huu yatakuwa na soko kubwa ndani na nje ya Tanzania.

“Kuna mahitaji makubwa ya chakula duniani. Baadhi ya watu wanaishi kwa
kutegemea kiasi kisichofikia dola moja ya Marekani kwa siku. Kuna watu
wanatumia kiasi cha asilimia 70 ama 80 cha kipato chao kununua
chakula. Lazima dunia izalishe chakula zaidi kwa sababu dunia
isiyokuwa na chakula cha kutosha itakuwa ni dunia isiyokalika.”

Baada ya mkutano huo na waandishi wa habari wa kimataifa, Rais Kikwete
alikutana na kuwa na mazungumzo na Mtoto wa Malkia wa Uingereza,
Prince Andrew ambaye ni mwakilishi maalum wa Uingereza kuhusu masuala
ya biashara ya kimataifa na uwekezaji.

Katika mkutano huo, viongozi hao wawili walizungumzia nafasi za
Uingereza kuwekeza katika Tanzania na jinsi Tanzania inavyoweza
kuwekeza katika uchumi wa Uingereza kama inataka na inao uwezo huo.

Baadaye jioni ya jana, Rais Kikwete alikutana na Waziri Mkuu wa
Norway, Mheshimiwa Jens Stoltenberg na pia kukutana na Bwana na Bibi
Bergman ambao wamekuwa wasaidia huduma za afya katika Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili na hasa Kitengo cha Tiba ya Meno.

Kabla ya kuondoka mjini Davos kwenda Addis Ababa, Ethiopia leo
kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika, Rais Kikwete
alikuwa na mfululizo wa mikutano kwenye Hoteli ya Sheraton ya mjini
Davos alipokuwa amefikia.

Rais Kikwete amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Accenture Development
Partnership, Bwana Gib Bulloch kujadili jinsi gani teknolojia ya
kisasa ya habari inavyoweza kutumika katika ufundishaji wa masomo
katika shule za Tanzania.

Rais pia amekutana na kuzungumza na Bwana John Davies, Makamu wa Rais
wa Kampuni ya Kimataifa ya Intel anayeshughulikia na masoko na pia
amekutana na Dkt. Nkosana Moyo, Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo
ya Afrika kuzungumzia jinsi gani benki hiyo inavyoweza kuchangia
maendeleo ya SAGCOT.

Rais Kikwete pia amekutana na kufanya mazungumzo na Bwana Richard T
Clark, Mwenyekiti wa Kampuni ya Kimataifa ya Dawa ya Merck ambako
mazungumzo yaliyohusu kuhusu maandalizi ya kupatikana kwa dawa ya
kuwezesha chanjo ya kinga la kansa ya shingo ya kizazi dhidi ya
akinamama wa Tanzania iliyopangwa kuanza mwaka ujao.

Local Lads To Take On Corporations In Indoor Cricket League

The_team

Some 15 Dar-es-Salaam businessmen have joined forces to take on corporate sponsored teams in the fast paced world of indoor cricket. The public is invited to show support for the Hennessy Hitters, captained by Kishen Savani, by coming to their opening match at Funkys Orbit (Masaki) on Monday the 31st January, at 9pm.

Hennessy embodies the values of creativity, innovation and the art of living (LVMH). In line with this philosophy, and impressed by the team’s community spirit, Hennessy offered its sponsorship. This is the story of the Hennessy Hitters.

“The team was formed by a group of friends who played cricket when we were younger. “ says Captain Savani. “We have been training hard over the past few weeks, we have a strong squad and we look forward to winning this opening match”.

The Hennessy Hitters team comprises of the following, Kishen Savani (Captain), Chintu Patel (Vice-captain), Kevin Patel, Nishit Kanabar, Imran Hirji, Heri Bomani, Nadir Hirji, Nitesh Patel, Prahlad Nathwani, Rupesh Kanabar, Situ Ramji, Akash Patel, Pullen Manek, Anand Patel and Gopal Patel.

“Through patronage, we wish to give something back that is in the general interest and thereby share our economic success with everyone.” – LVMH (Louis Vuitton • Moët Hennessy)

The next 5 matches will be played on:
31/1 at 2100 Hrs
3/2 at 1840, 8/2 at 2100 Hrs
10/2 at 1950 Hrs
and 18/2 at 1840 Hrs

Hennessy Hitters Shall play their First Match
Against a team named 'Not So Hot Chilies'.

For more information, visit http://www.lvmh.com

German Rail Crash Kills At Least 10

German-rescuers-check-a-d-007

At least 10 people were killed and dozens injured in a head-on train crash in eastern Germany last night.

Police fear the death toll could rise following the collision between a commuter train and a freight train near the village of Hordorf, close to Saxony-Anhalt's state capital Magdeburg. Around 40 people were injured, some seriously, according to police reports.

The Harz Elbe Express was on its way from Magdeburg to Halberstadt when the accident happened. A spokesman for the privately-owned rail company Hex said that the train's driver and conductor were among the dead.

The accident happened just before 10.30pm local time when the commuter train, travelling on a single track at around 60mph, hit the cargo train, which was going at around 50mph. A police spokesman said the trains were travelling so fast that the passengers in the front carriage would have been killed instantly.

Rescue operations were still under way this morning, and investigators have not yet identified the cause of the collision, regional police spokesman Frank Kuessner said. "Rescue operations are still ongoing. The death toll may well rise further," he said. Almost 200 police and rescue workers were at the crash site, he added.

The management of the operating company Hex was "shocked" about the accident, said a spokesman. The route between Magdeburg and Halberstadt is single track, said Hex. Engineering work was due to take place on the line last night, according to information on the firm's website.

The crash site was a scene of devastation this morning. Crumpled carriages from the derailed passenger train lay on their side on the frost-covered ground. The freight train, which was several hundred metres long, was still on the track.

Last night, corpses were laid out in front of the trains, covered under blankets. So far, just two of the dead have been identified, according reports. The severe injuries sustained by the other eight are making identification difficult, according to an investigator.

Thick fog last night hampered the rescue effort and prevented a helicopter taking the injured to hospital. "It is a difficult operation, " said fire services manager Bernd Delecke.

Saxony-Anhalt's deputy interior minister Ruediger Erben, who rushed to the scene late Saturday, said the trains must have crashed head-on at high speed, German news agency DAPD reported.

The noise of the collision was heard in Oschersleben village, four miles from the crash site.

It is the most devastating rail crash in Germany for years. In September 2006, a test train crashed into a workshop in Lathen, Lower Saxony, killing 23 people and injuring 11 others. The biggest railway disaster in Germany since the second world war was in June 1998, when a fast train travelling from Munich to Hamburg derailed in Lower Saxony, killing 101 people on board.

Private Data Not Safe Online, Say Consumers

World-wide-web-acronym-padlock

Organisations are failing to keep customers’ personal details safe online, 92 per cent of people believe. A survey from the Information Commissioner’s Office also found that three out of five people think that they have lost control of the way their personal information is collected and processed and four out of five are concerned about protecting their personal information online.

Christopher Graham, the ICO, highlighted the survey as he issued new guidelines to consumers urging people to take more care on social networking sites, to think before giving out their personal details online, and to understand what to do when things go wrong. The relaunched 40-page ‘Personal Information Toolkit’, and accompanying online guidance, comes after Communications Minister Ed Vaizey criticised the ICO in parliament last year for “not being in the business of public relations”.

Figures from the National Fraud Authority show that UK identity fraud costs more than £2.7billion and affects over 1.8million people each year. On average, fraudsters gain over £1,000 from every stolen identity.

The ICO claims the new guidance will “help online users understand how to surf safely”. It includes tips on how to protect personal details online as well as setting out people’s rights to access and correct the information that is held about them. Events in schools and colleges are also being organised for teachers, staff and parents to learn how best to manage online privacy.

The Information Commissioner, Christopher Graham, said “It’s never been more important to protect your personal information and it’s crucial that people are thinking about how their information might be used”. Lord McNally, Minister of State for the Ministry of Justice, said “The Government is working with businesses, charities, consumer groups and the public sector, to look at the law and ensure it continues to protect our personal information well into the 21st century. But there is a huge amount that people can do to arm themselves against misuse of data and knowing the risks really is the best way to protect yourself.

Liverpool Cannot Afford To Lose The Battle To Keep Fernandos Torres

Fernando_torres_1814316c

In the space of six months, all three of English football’s historical triumvirate – as well as its future force – have seen those idols their fans treasure above all others threaten to reject that devotion.

Fabregas asked Arsène Wenger to allow him to move to Barcelona; Rooney informed Manchester United he would not sign a new contract; Tévez pleaded with Manchester City to release him from his £160,000-a-week bondage at Eastlands.

And now Torres, first “verbally intimating” to Liverpool that he wishes to join Chelsea, then handing in a transfer request.

There will be no sympathy washing down the M62, nor emanating from the Emirates: schadenfreude is the order of the day. After all, few laughed as loudly as those on the Kop when their rivals’ talismans showed their true colours.

Liverpool fans, of course, believe their pain hurts more than most, just as United and City and Arsenal fans did, or even Chelsea’s, when John Terry fluttered his eyelashes at Eastlands 18 months ago. Such is the nature of support. In this case, it is easy to see why.

It was hard, after all, to begrudge Fabregas, a boyhood Barcelona fan, a move back to Catalonia. Rooney – who, crucially, never handed in a transfer request, nor threatened to do so – has nevertheless hardly been portrayed as a paragon of footballing virtue. Tévez joined City for their riches: they must live by the sword and die by the sword, even if it is gilded.

But Torres is different. This is the player who insisted that, upon departing Atlético Madrid, he would only do so for Liverpool. This is the player who bore the legend “You’ll Never Walk Alone” on an armband while still playing in Spain. This is the player who spoke openly, as recently as October 2009, of Liverpool being the only team he would play for in this country.

“I hope to play for many years or maybe even finish my career here,” he said. “Liverpool is my English team and I don’t think about playing for another one.”

And yet now he is not only contemplating a move to Chelsea, but has destabilised the club he once professed to love with just three days left of the transfer window. On the day Liverpool’s owners, Fenway Sports Group, announced the £22.8 million signing of Luis Suarez as a signal of their ambition, Torres rocked Anfield to its foundations.

That is not something which his disaffected devotees can pin on FSG or Kenny Dalglish. They cannot even blame Roy Hodgson, whose regime sapped so much of Torres’s enthusiasm for life on Merseyside. Rafael Benítez, that scapegoat for all of Liverpool’s ills, likewise.

True, FSG’s failure to provide the “quick fix” spending spree Torres and Pepe Reina want has hardly convinced either player they can fulfil their ambitions at Anfield. True, Torres – and Reina – disliked life under Hodgson. True, his relationship with Benítez had grown strained.

But the blame for Torres’s state of mind appears to lie at the cowboy-booted feet, in the snakeoil-selling hands and the misleading mouths of Tom Hicks and George Gillett. It was those Americans who promised Torres the world and delivered nothing. It was those Americans who stripped Anfield of its ambition, turning it into a club who existed to win trophies into a club which did well simply to exist.

Torres, for at least a year, has instructed his agents to sound out likely destinations for a move: Manchester City and Barcelona have maintained a watching brief, but it is Chelsea who have hovered persistently, waiting for their chance.

They thought they had it in the summer, when his representatives tipped them the wink, fluttered their eyelashes, and declared he would be willing to move. Torres, when push came to shove, committed his future to Liverpool. He had never considered leaving, he said.

That he had is confirmed in his contract, a clause allowing him to depart for £50 million inserted by the then-managing director, Christian Purslow, should Liverpool remain outside of the Champions League places come summer. To Purslow, that clause safeguarded the club from losing its prized asset on the cheap and, crucially, before a takeover. As soon as FSG arrived, it looked like a time bomb.

It exploded on Friday night, as Torres handed in his transfer request. Here, too, even greater pain: he did not want to move to his boyhood club, or to more familiar climes, or to force his team’s owners to invest.

No, instead he wished to sign for Chelsea. One of those English teams he had said he would not countenance turning out for. A team who, it could be argued, are in need of rebuilding almost as much as Liverpool. A team who look highly unlikely to fulfil his desire for a league title this season, and whose chances of European glory are only marginally less slim. Their prospects may be brighter than Liverpool’s, but they are still an ageing side.

That Torres finds them more appealing than remaining on Merseyside says a lot. Not for FSG, but for Hicks and Gillett. Such is the damage they have done. Torres knows how long the rebuilding of a shattered club will take. He grew up at Colchonero, after all. He bears the weight of Atlético Madrid in his soul. He feels he does not have that time.

These Americans, these new Americans, are rather different to their predecessors, though. They despair at the lawlessness of European football; as of last night, there was every indication that they would continue to refuse the striker a move, that they would countenance the idea of keeping him against his will.

It is a crucial battle: City kept Tévez, United kept Rooney, Arsenal kept Fabregas, Chelsea retained Terry. It seems unlikely Liverpool and Torres will experience a detente, as in all of those cases. But to lose him would confirm their place outside of England’s elite. It would prove Torres right. Liverpool cannot afford to be different. For their future, they must show Torres he is wrong.

Sheikh Mkuu Issa Bin Shaaban Simba Awasili Geita Leo

Mkuuwa wilaya ya Geita Mh. Philemoni Shelutete, (kati) akimpokea Sheikh mkuu wa Tanzania Sheikh Issa Bin Shabani Simba, (shoto) katika ikulu ndogo ya Geita. Kulia ni Sheikh mkuu wa wilaya ya Geita Sheikh Haadi Kabaju. Mufti Simba, anatarajiwa kuongoza harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenziwa shule ya kiislamu wilayani humo leo.

Umati mkubwa wa waumini wa Dini ya kiislam, wa geita, wakishiriki maandamano maalum yalioandaliwa kwaajili ya kumpokea Sheikh mkuu wa Tanzania, Sheikh issa Bin Shabani Simba, aliyewasili jana mjini hapa, Sheikh Simba anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa shule ya kiislam ya Geita, harambee hiyo itafanyika leo hapa Geita.

German Train Crash Near Madeburg Leaves 10 Dead

_51016839_germany_magde_0111

At least 10 people are reported to have died in a train crash in eastern Germany.

A local passenger train and a goods train collided head-on in the state of Saxony-Anhalt late on Saturday, near the city of Magdeburg.

The cause of the crash, which left 43 injured, 18 seriously, is unclear.

The passenger train, the HarzElbeExpress, was travelling between Magdeburg and Halberstadt, a police spokesman told the AFP news agency.

Several carriages were derailed after the collision near the village of Hordorf at about 2230 (2130 GMT).

"Rescue operations are still ongoing. The death toll may well rise further," said regional police spokesman Frank Kuessner said.

Balozi Mwanaidi Maajar Awaalika Friends Of Tanzania Ubalozini Washington, DC

Mh. Balozi wa Tanzania nchini Marekani Hon. Mwanaidi Sinare Maajar alipokua akiongea na kuwapongeza Friends of Tanzania kwa kazi yao nzuri ya kujitolea na kuijali Tanzania na kuwaasa wasichoke waendelee na moyo huo.
 Mh. Balozi Mwanaidi Maajar (kulia) akiongea na Ed Kneedler (kati) wakiwa pamoja na Craig Hefner.
Mh. Balozi (kulia) akizungumza na Ed Kneedler wakati wakiendelea kupata machopochopo kwenye ghafla waliyoandaliwa Friends of Tanzania na Ubalozi wetu, Washington, DC.
 Mh. Balozi Mwanaidi Maajar (kushoto) akizungumuza mawili matatu na Ed Kneedler (kati) na Lynn Kneedler Friends of Tanzania.
Mh. Balozi Maajar (kulia) akiwa na Rais wa Friends of Tanzania, Pat Kelley kwenye ghafla futi walioandaliwa maalum kuwashukuru kwa kazi wanayofanya kuisaidia Tanzania.
 Mh. Balozi wakipata picha ya pamoja na Emmanuel Muganda.
Kushoto ni John Hatch akiwa na mwenzake wa Friends of Tanzania, Dan Ehrenberg.

Kutoka kushoto ni Marolyn Hatch, Dan Ehrenberg, Ed Kneedler na Rais wa Friends of Tanzania Pat Kelley.

 Kulia ni Dr. Hamza Mwamoyo akiwa na Dennis Warner
Katika mazungumzo, kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi Dr. Mkama, Asia Dachi na Emmanuel Muganda.
 Kwenye picha ni Afisa Ubalozi, Dr.Mkama (kulia) akiongea mawili matatu na Dan Ehrenberg mmoja wa Friends of Tanzania.
 Kutoka kulia ni Dennis Warner, Shante, Afisa Ubalozi Suleiman Saleh na Rais wa Friends Of Tanzania, Pat Kelley.
Kutoka kulia ni Emmanuel Muganda, Afisa Ubalozi Masanja, Denns Warner, John Hatch, Afisa Ubalozi Suleiman Saleh, Afisa Ubalozi Asia Dachi, Shante na Candy Warner.
Friends of Tanzania, maafisa Ubalozi wakipata picha ya kumbukumbu pamoja na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar. Picha zote na Mdau Luke John, Washington, DC.

Leopard Savaging A Crocodile Caught On Camera

Leopard savaging a crocodile caught on camera

Leopard savaging a crocodile caught on camera

Leopard savaging a crocodile caught on camera

Leopard savaging a crocodile caught on camera

Leopard savaging a crocodile caught on camera

Leopard savaging a crocodile caught on camera

Leopard savaging a crocodile caught on camera

Leopard savaging a crocodile caught on camera

A series of incredible pictures taken at a South African game reserve document the first known time that a leopard has taken on and defeated one of the fearsome reptiles.

The photographs were taken by Hal Brindley, an American wildlife photographer, who was supposed to be taking pictures of hippos from his car in the Kruger National Park.

The giant cat raced out of cover provided by scrub and bushes to surprise the crocodile, which was swimming nearby.

A terrible and bloody struggle ensued. Eventually, onlookers were amazed to see the leopard drag the crocodile from the water as the reptile fought back.

With the crocodile snapping its powerful jaws furiously, the two animals somersaulted and grappled. Despite the crocodile's huge weight and strength, the leopard had the upper hand catching its prey by the throat.

Eventually the big cat was able to sit on top of the reptile and suffocate it.

In the past, there have been reports of crocodiles killing leopards, but this is believed to the first time that the reverse scenario has been observed.

Mr Brindley said: 'I asked many rangers in South Africa if they had ever heard of anything like this and they all said no.

"It just doesn't make sense. The meat you get out of a crocodile is just not worth the risk it takes a predator to acquire. The whole scene happened in the course of about 5 minutes. Then the leopard was gone.

"I drove away, elated in disbelief. It may have been the most amazing thing I've ever seen."

Ellie Rose, a reptile keeper at London Zoo, said: "Normally, crocodiles are well able to defend themselves against attack. I can't think of any examples of this happening before."