Rais Jakaya Kikwete Afanya Uteuzi Wa Makatibu Wakuu Wa Wizara

G

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu watano wapya na kuwahamisha wengine wanne kutoka wizara moja kwenda nyingine. Uteuzi na uhamisho huo unaanza mara moja.

Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Februari 28, 2011, mjini Dar Es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi Ndugu Phillemon L. Luhanjo inasema kuwa mabadiliko hayo yanatokana na Muundo mpya wa Serikali ambako Wizara ya Miundombinu imegawanywa katika wizara mbili, na baadhi ya Makatibu Wakuu kustaafu kazi kwa mujibu wa Sheria.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Rais Kikwete amemteua Bw. Fanuel E. Mbonde kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Ikulu. Kabla ya uteuzi wake Bw. Mbonde alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu.

Wengine walioteuliwa ni B. Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Bw. John M. Haule kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa; Bw. Herbert E. Mrango kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Ujenzi; na Bw. Eric K. Shitindi kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Kazi na Ajira.

Kabla ya uteuzi wake Bw. Kattanga alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto; Bw. Haule alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha; Bw. Mrango alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Bw. Shittindi alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.

Kuhusu uhamisho, Rais Kikwete amemhamisha Bw. Sazi B. Salula kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwenda kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais; Bibi Maimuna K. Tarishi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu kwenda Wizara ya Maliasili na Utalii; Injinia Omar A. Chambo kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uchukuzi akitokea Ukatibu Mkuu wa Wizara ya zamani ya Miundombinu; na Bibi Kijakazi R. Mtengwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto.

Taarifa hiyo ya Ndugu Luhanjo imesema vile vile kuwa Dkt. Ladislaus C. Komba, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii anapangiwa kazi maalum katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

Aidha, taarifa hiyo imesema kuwa Rais Kikwete amemhamishia Bibi Elizabeth J Nyambibo Wizara ya Fedha na Uchumi ambako anachukua nafasi ya Naibu Katibu Mkuu iliyoachwa wazi na Bwana John H. Haule. Kabla ya uhamisho wake, Bibi Nyambibo alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Taarifa hiyo ya Ndugu Luhanjo imesema kuwa Makatibu Wakuu wapya wataapishwa saa tatu asubuhi kesho, Machi Mosi, 2011.

Mwisho.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
28 Februari, 2011

Martin Luther King JR Drum Major Award To The Committee Of Six

Mlk_drum_major_award_175

The U.S Ambassador to Tanzania Alfonso E. Lenhardt delivering his remarks before conferring the 2011 Dr. Martin Luther King Drum Major for Justice Award to the Committee of Six of the Zanzibar House of Representatives in recognition of its role in helping establish the Government of National Unity in Zanzibar and making 2010 the year of Zanzibar’s reconciliation. The award ceremony was held on February 28, 2011 at the U.S. Embassy in Dar es Salaam.

Mlk_drum_major_award_350

The U.S Ambassador to Tanzania Alfonso E. Lenhardt (right) receiving a copy of the amended constitution of Zanzibar from the Hon. Ali Mzee Ali of the Committee of Six of the House of Representatives. The amended constitution which laid a legal framework for the formulation of the Government of National Unit in Zanzibar resulted from a referendum by the people of Zanzibar. Ambassador Lenhardt conferred upon the Committee of Six the 2011 Dr. Martin Luther King Award in recognition of the vital role in played in the Zanzibar reconciliation.

Mlk_drum_major_award_305_b

The U.S Ambassador to Tanzania Alfonso E. Lenhardt delivering his remarks before conferring the 2011 Dr. Martin Luther King Drum Major for Justice Award to the Committee of Six of the Zanzibar House of Representatives in recognition of its role in helping establish the Government of National Unity in Zanzibar and making 2010 the year of Zanzibar’s reconciliation. The award ceremony was held on February 28, 2011 at the U.S. Embassy in Dar es Salaam.

Mlk_drum_major_award_373_a

The U.S Ambassador to Tanzania Alfonso E. Lenhardt (center) with some of members of the Committee of Six of the Zanzibar House of Representatives; Hon. Ali Abdallah Ali, Hon. Zakiya Omar Juma (left) Hon. Ali Mzee Ali (second from right ) and Ibrahim Mzee Ibrahim the House Clerk who served as a Committee’s Secretary. Ambassador Lenhardt conferred upon the Committee of six the 2011 Dr Martin Luther King Drum Major for Justice Award in recognition of its role in helping establish the Government of National Unity in Zanzibar and making 2010 the year of Zanzibar’s reconciliation. The award ceremony was held on February 28, 2011 at the U.S. Embassy in Dar es Salaam.

Dk. Terezva Huvisa Atembelewa Na Balozi Wa Iran Nchini Tanzania

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akizungumza na Balozi wa Iran Nchini Tanzania Bw M Movahhedi Ghomi wakati alipofika Ofisini kwake Kujadili Mkutano wa Mkataba wa Kuhifadhi ardhi Oevu utakaofanyika Nchini Iran Tanzania ni Miongoni mwa Nchi zinazotekeleza Mkataba wa Ramsa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akisalimiana na Balozi wa Iran Nchini Tanzania Bw M. Movahhedi Ghomi wakati alipofika Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli  Kujadili Maandalizi ya Mkutano wa Mkataba wa Kuhifadhi aradhi Oevu utakaofanyika Nchini Iran. Picha na Ali Meja

Miji Ya Zanzibar Kupata Msaada Wa Dola 38 Milioni Benki Ya Dunia

By The Citizen Reporter

Dar es Salaam. The World Bank (WB) on Thursday approved an International Development Association (IDA) credit of $38 million to support implementation of a project aimed at improving access to urban services in Zanzibar.

The Zanzibar Urban Services Project (Zusp) will strengthen institutional capacity of the Zanzibar Municipal Council (ZMC) on Unguja Island and develop infrastructure, the World Bank said in a statement availed to The Citizen yesterday.

The infrastructure includes surface water drainage systems, solid waste collection and transportation, Streetlights and a sea wall such as a promenade along Mizingani Road within the World Heritage City of Stone Town.

The project will also support the Town Councils of Chake Chake, Mkoani and Wete on Pemba Island by strengthening their institutional capacity and through the identification and implementation of simple and small investments.

“There is an urgent need to accommodate Zanzibar’s rapidly increasing urban population and to develop policies and institutions to manage urban growth,” John Murray McIntire, World Bank Country Director for Tanzania, Uganda, and Burundi said.

“Zanzibar has an extraordinarily long and varied history, but the urban fabric is under severe stress,” observed Barjor Mehta, WB Senior Urban Specialist and the Task Team Leader of the project.

Together, the four main urban local authorities on the two islands contribute to the bulk of Zanzibar’s GDP, making them critical to the economy of the two islands.

Tourist arrivals on Zanzibar have increased, making the sector one of the most important economic activities on the islands.

Most tourists visit the Stone Town area, which has been listed as a World Heritage City by the United Nations Educational, Scientific and Cultural Organizations (Unesco).

Substantial areas of the ZMC are very dense, unplanned and informally developed, with poor access to services.

Areas within the council suffer from severe and persistent flooding resulting in recurring damage to more than 3,600 houses and affects road infrastructure, interrupts water and electricity supply while increasing the risk from water borne diseases, including cholera.

Less than 25 per cent of the solid waste generated within the council is collected and transported to a waste disposal site.
There is a general lack of streetlights, which poses safety risks to the population.

The sea wall along Mizingani Road, which is key to maintaining Stone Town's cultural heritage, is in a very dilapidated state and in danger of collapse.

While several development partners have been supporting improvements in urban services in Zanzibar, the ZUSP will be the first WB supported urban sector project in the archipelago.

This is the third operation to be approved by IDA for Tanzania this fiscal year. In total, the WB’s currently active country portfolio includes 24 operations with a net commitment of $2.622 billion.

In addition, Tanzania benefits from 11 regional projects, in which the specific financing amounts to over $230 million.
Othman Maulid.

Mama Maria Nyerere Akutana Na Viongozi Wa Chadema Butiama

Slaa-nyerere

Mama Maria Nyerere akiteta jambo na katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, wakati viongozi wa Chama hicho na baadhi ya wabunge, walipomtembelea nyumbani kwake Butiama hii leo.

Halimashadalamaua

Mbunge wa jimbo la Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), akiweka shada la maua katika kaburi la Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, wakati viongozi na baadhi ya wabunge wa chama hicho, walipomtembelea Mama Maria Nyerere nyumbani kwake Butiama leo. (Picha na Joseph Senga)

Mbowe-kuzungumza-butiama

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akitoa salamu za chama hicho kwa Familia ya Mwalimu Nyerere, wakati vongozi mbali mbali na wabunge wa chama hicho, walipomtembela Mama Maria Nyerere (katikati) nyumbani kwake Butiama leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Wilibrod Slaa.Picha kwa hisani ya Joseph Senga.


Harambee Ya Gongo La Mboto Reading Yafana

Baada_ya_kazi_kutoka_kushoto_j

Baada ya kazi, kutoka kushoto JJ, Chisumo, Miss Jestina, Gardol na Frank.

Salam,

Tunapenda kutoa shukrani zetu za Dhati kwa watanzania wote waishio Reading UK walioweza Kuja Vincent kuchangia wahanga wa Gongo la Mboto Tanzania. Kwa muda wa saa moja tumekusanya Jumla ya pesa taslim Pounds £200 Pia tumekusanya Nguo nyingi kutoka kwa watu mbalimbali. Tafadhali Kumbuka bado hujachelewa kwa wakazi wa Reading ambao hawakuweza kufika leo mnaweza kupeleka michango yenu Vincent siku ya mwisho ya kukusanya ni jumanne ijayo tarehe 1.3.11.

Ningependa kutoa shukrani za dhati kutoka URBAN PULSE,MISS JESTINA BLOG,AIL TV, LOCUS IMPEX SHIPPING CO, SHILLA FRISCH, MRS NASIBU NA Utawala wa Vincent Restaurant Reading kwa kusaidia zoezi la leo.

Mungu Ibariki Africa, Mungu Ibariki Tanzania
Asanteni

Space Shuttle Discovery’s Final Launch Caught On iPhone Camera

This is the spectacular mobile phone video footage shot by an airline passenger of the final launch of the space shuttle Discovery.

When the world’s most travelled spaceship thundered into orbit for the final time at 9.50am on Thursday, 25-year-old Neil Monday was himself in mid-air.

The software developer works at the University of Central Florida in Orlando and was flying back to his hometown of Richmond, Virginia, for his older brother’s wedding.

In a happy coincidence, Mr Monday’s flight was delayed by two hours but in the end he didn’t mind at all because had the flight left on time he would have missed the extremely rare chance to land such unique footage. 

See the video below…

Rocket ride: Neil Monday shot this video of the space shuttle launch on his mobile phone through a plane window

Rocket ride: Neil Monday shot this video of the space shuttle launch on his mobile phone through a plane window

On his video, the cabin announcer can be heard saying: ‘Folks, the space shuttle is going off the right side of the aircraft right now.

‘Those of you on the right side of the aircraft, you can see the space shuttle.

‘People on the left side of the aircraft, you can probably see people on the right side of the aircraft looking at the space shuttle.’

Final journey: The white dot at the centre of the image shows the Discovery just after lift off

Final journey: The white dot at the centre of the image shows the Discovery just after lift off

Curved trajectory: The shuttle flew past the plane before disappearing out of sight

Curved trajectory: The shuttle flew past the plane before disappearing out of sight

Such was the weight shift in the plane as passengers raced to get a view of the rocket that one passenger can be overheard joking: the wings are going to tip over because everyone is leaning on the right side.’

Mr Monday was seated on the left side of the aircraft but asked the person opposite to switch seats so he could film the launch.

‘I had a digital camera with me which would have done a great job recording, but the batteries were dead, so I shot the video on my iPhone,’ he told the Cosmic Log blog in an email.

‘I don’t think I knew about the launch until 20 minutes before it happened. It was neat, because we could see the countdown on the TVs in the headrests and then just peek outside the window and see the real thing.

‘I remember seeing another video on YouTube of a shuttle launch filmed from an airplane, and I thought it was one of the coolest things I had ever seen.

‘Then to actually have the opportunity to see it in real life was absolutely fascinating. I have a feeling that I will be telling the story to my grandkids one day.’

How it looked from the ground: Thousands gathered at Cape Canaveral to witness Discovery's last journey

How it looked from the ground: Thousands gathered at Cape Canaveral to witness Discovery’s last journey

En route: The six astronauts on board, all experienced space fliers, are said to be thrilled to finally be on their way after a delay of nearly four months for fuel tank repairs
Emotional last journey: Tens of thousands of people gathered near Cape Canaveral to watch the shuttle's final launch

En route: The six astronauts on board, all experienced space fliers, were thrilled to finally be on their way after a delay of nearly four months for fuel tank repairs

Discovery’s launch from Kennedy Space Center occurred after several tense minutes just before lift-off when an Air Force computer problem threatened to halt everything.

The issue was resolved and Discovery blasted off two minutes and 58 seconds late – with just two seconds of its three-minute launch window to spare.

Tens of thousands witnessed history in the making from the Florida launch site. Countless more watched from surrounding towns, while roads leading into the space centre were jammed.

Team effort: Commander Steve Lindsey (front row, right) leads the crew followed by pilot Eric Boe (front, left) and back row, left to right, mission specialists Alvin Drew, Nicole Stott, Steve Bowen and Mike Barratt

Team effort: Commander Steve Lindsey (front row, right) leads the crew followed by pilot Eric Boe (front, left) and back row, left to right, mission specialists Alvin Drew, Nicole Stott, Steve Bowen and Mike Barratt.

Discovery is now heading towards the International Space Station (ISS) on a journey that marks the beginning of the end of the shuttle era.

The six astronauts on board, all experienced space fliers, were thrilled to be on their way after a delay of nearly four months for fuel tank repairs.

But it puts Discovery on the cusp of retirement when it returns in 11 days and eventually heads to a museum.

‘Discovery is now making one last reach for the stars,’ the Mission Control commentator said once the shuttle cleared the launch tower.

Discovery is the oldest of Nasa’s three surviving space shuttles and the first to be decommissioned this year.

Two missions remain, first by Atlantis and then Endeavour, to end the 30-year programme.

Discovery space shuttle graphic

It was Discovery’s 39th launch and the 133rd shuttle mission overall.

During the tense minutes just before lift-off an Air Force computer problem threatened to halt the launch for a second time.

The issue was fixed and Discovery blasted off with just two seconds of its three-minute window to go.

‘Great way to go out,’ said launch director Mike Leinbach. Launching late in the window like that ‘probably makes it a little bit more sweet’.

‘I would say we scripted it that way,’ added Mike Moses, chairman of the mission management team, ‘but I could use a little less heart palpitations in the final couple seconds of the countdown.’

As the final minutes ticked away, Commander Steven Lindsey thanked everyone for the work in getting Discovery ready.

‘And for those watching,’ he called out, ‘get ready to witness the majesty and the power of Discovery as she lifts off one final time.’

Emotions ran high as the shuttle rocketed off its seaside pad into a late afternoon clear blue sky, and arced out over the Atlantic on its farewell flight.

Discovery will reach the space station tomorrow, delivering a small chamber full of supplies and an experimental humanoid robot.

‘Look forward to having company here on ISS in a couple days,’ station commander Scott Kelly said in a Twitter message.

The orbiting lab was soaring over the South Pacific when Discovery took off.

On-board TV cameras showed some pieces of foam insulation breaking off the shuttle’s external fuel tank four minutes into the flight, more than usual in fact.

But it should not pose any safety concerns because it was late enough after lift-off, officials said.

Nasa is under presidential direction to retire the shuttle fleet this summer, let private companies take over trips to orbit and focus on getting astronauts to asteroids and Mars.

An estimated 40,000 guests gathered at Kennedy Space Centre to witness history in the making, including a small delegation from Congress and Florida’s new Governor Rick Scott.

Discovery frenzy took over not only the launch site, but neighbouring towns.

Nasa spokesman Charles Bolden said before the launch on Wednesday: ‘Discovery is the most flown spacecraft in history.

‘People don’t understand. They say it matter-of-factly. There is no other multi-flown spacecraft than the shuttle.’

It’s been an uncharacteristically bumpy exit for Discovery.

Fuel tank cracks – one of the most challenging problems to strike the shuttles – cropped up during the initial countdown in early November.

It took until January for Nasa to understand the cracking in the centre portion of the tank that holds instruments, and to be assured the repairs would work.

Then last month, the lead spacewalker was injured in a bicycle crash and had to be replaced on the crew.

Discovery has long been a favourite at Nasa, at least unofficially.

The oldest of the surviving shuttles that first flew in 1984, Discovery carried the Hubble Space Telescope into orbit in 1990, returned Mercury astronaut John Glenn to space at age 77, and got Nasa flying again after the Challenger and Columbia shuttle disasters.

To mark the historic nature of the flight, the six astronauts are taking up a medallion from the Royal Society that was struck in honour of 18th century British explorer James Cook. His ships included the Discovery, one of the exploring vessels after which the shuttle was named.

The future, as outlined by the White House, involves turning orbital rides over to private companies in order to free Nasa up for grander outer space travel. Asteroids and Mars are on the must-see list.

Launch manager Mike Moses said this week: ‘We’re still working on the what’s next part.’

The new approach is neither good nor bad, he stressed: ‘We can’t keep doing what we’re doing with the budgets we have, so this is the new future.’

As long as the space shuttles keep flying, the U.S. government can’t invest enough money in a successor spaceship, said White House science adviser John Holdren.

He said last week: ‘We need to move toward a more modern, more efficient and safer way to get our astronauts in low Earth orbit.’

Mr Bolden, a former astronaut, said his number one priority, for now, is getting the last three shuttle missions flown safely.

He expects to be ‘crying like a baby’ when Atlantis makes the final landing of the final flight.

Kuchangia Gongo La Mboto: Bongo Fleva Waitungua Bongo Movie Bao 2-0

Bongo_fleva_wakishangilia_ushindi_wa_2-0

Timu ya Bongo Fleva ikiwa na kikombe chao mara baada ya kukabidhiwa jioni hii.

Meya_akikabidhi_kombe

Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa akikabidhi kombe kwa nahodha wa timu ya Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tundaman’ baada ya mchezo wa maalumu wa kuchangia waathirika wa milipiko wa mabomu ya Gongo la Mboto. Mchezo huo umefanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, jioni hii. Bongo Fleva imeshinda 2-0.

30

Mshambuliaji wa timu ya Bongo Fleva, Ali Kiba akijaribu kutaka kumtoka beki wa timu ya Bongo Movie katika mtanange wa Kuchangia maafa ya Gongo La Mboto uliomalizika jioni hii katika uwanja wa Taifa jijini Dar. Bongo Fleva iliibuka kidedea kwa mabao 2-0 yaliyotiwa kimyani na mshambuliaji H. Baba katika kipindi cha kwanza cha mchezo.

29

Kiungo wa Bongo Movie, Ben Kinyaiya akipiga penati na kukosa kwa kupiga nje.

31

Mshambuliaji wa kushoto wa timu ya Bongo Fleva, KR Mullah akimtoka mchezaji wa timu ya Bongo Movie katika mchezo uliopigwa jioni hii katika uwanja wa Taifa.

Balozi Alex Massinda Akaribishwa Toronto, Canada

 Balozi Alex Massinda (kushoto) akikaribishwa rasmi jijini Toronto na Meya wa Toronto, Rob Ford.

 Balozi Alex Massinda akiongea na Watanzania waliohudhuria shughuli hiyo.

 Meya wa Toronto, Rob Ford, akiongea machache kumkaribisha rasmi Balozi Alex Massinda.

Balozi Massinda, Meya Rob Ford wakiwa katika picha na baadhi ya viongozi wa Tanzanian Canadian Association(TCA)

Mwishoni mwa wiki iliyopita,Jumamosi 19th February,watanzania wanaoishi jijini Toronto nchini Canada na maeneo yake ya jirani,waliungana na Mstahiki Meya wa Jiji la Toronto,Rob Ford, katika kumkaribisha rasmi jijini hapo, Balozi Alex Massinda ambaye katikati ya  mwaka jana aliteuliwa kuwa Balozi mpya wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania nchini Canada na kuchukua nafasi iliyoachwa na Balozi Peter Kallaghe aliyehamishiwa nchini Uingereza.
Sherehe hiyo ya kumkaribisha rasmi Toronto(jiji kubwa na maarufu kushinda mengine yote nchini Canada) ziliandaliwa na Chama cha Watanzania (Tanzanian Canadian Association-TCA) na kufanyikia Thorncliffe Banquet Centre.
Sambamba na tukio hilo la kumkaribisha Balozi Massinda,Tanzanian Canadian Association(TCA) kilikuwa kinasheherekea miaka 20 ya uhai wake.Kilianzishwa mwaka 1990. Picha na Habari na Mdau Jeff Msangi wa Bongo Celebrity.

Tanzania Inachangamoto Kubwa Ya Kutafsiri Kwa Vitendo Sera Na Mipango Inayohusu Jinsia

Img_4800

Mhe. Ummi Alli Mwalimu, Naibu Waziri, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akifuatilia majadiliano kuhusu ushiriki wa wanawake na watoto wa kike katika elimu, mafunzo, sayansi na teknolojia pamoja na fursa sawa za ajira wakati wa mkutano wa 55 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake. Akichangia majadiliano hayo kwa niaba ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoiwakilisha katika Mkutano huo, Naibu Waziri, anasema licha ya kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuingiza masuala ya jinsia katika sera, mipango na mikakati bado inakabiliwa na changamoto nyingi. waliokaa kushoto kwake nyuma ni Bi. Khadija Ali Mohamed, Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu na Ufundi Stadi, Serikali ya Mapinduzi Zanzibari, na kulia, ni Bw. Hussein A. Kattanga, Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto.

=== ==== ===== ======= ==== ========= ========

TUNACHANGAMOTO KUBWA YA KUTAFSIRI KWA VITENDO SERA NA MIPANGO INAYOHUSU JINSIA- NAIBU WAZIRI

NA MWANDISHI MAALUM

NEW YORK -Pamoja na ukweli kwamba Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuingiza masuala ya jinsi katika sera, mikakati na mipango yake, bado inakabiliwa na changamoto za kuzitafrisi kwa vitendo, sera, mipango na mikakati hiyo.

Hayo yameelezwa Naibu Waziri, Wizara ya Maendeleo ya Jamii , jinsia na Watoto, Mhe. Ummi Alli Mwalimu, wakati alipokuwa akichangia majadiliano kuhusu fursa na ushiriki wa wanawake na watoto wa kike katika elimu, mafunzo, sayansi na teknolojia pamoja na fursa sawa katika ajira.

Naibu Waziri Ummi Mwalimu , anaongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika Mkutano wa 55 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake unaoendelea hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa. Ujumbe huo pia unajumuisha washiriki kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Anazitaja changamoto hizo kuwa ni katika kufanya uchambuzi wa masuala ya jinsia na ufinyu wa takwimu za jinsia ambazo zingeweza kutoa ushawishi katika maandalizi na utekelezaji wa sera na mipango.

Naibu Waziri Ummi Mwalimu amewaeleza washiriki wa mkutano huo, kwamba changamoto nyingine ni katika kubadilisha mawazo na mitizamo ya jamii kuhusu suala zima la maendeleo na ushiriki wa wanawake.

Hata hivyo anasema pamoja na changamoto hizo, serikali inaendelea na kazi ya kuzikabili na kuzifanyia kazi kwa kuwa imejiweka misingi madhabuti. Na kubwa zaidi ni utashi mkubwa wa kisiasa ulioonyeshwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete na serikali zima katika kuwapatia fursa sawa wanawake katika ngazi za maamuzi.

Akizungumzia kuhusu ushiriki wa wasichana katika masomo ya Sayansi, Naibu Waziri anasema idadi ya wasichana wanaojiunga na Masomo ya Sayansi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imeongezeka maradufu.

Anasema mafanikio hayo yametokana na uamuzi wa Serikali wa kuweka mpango mahsusi wa kuwasaidia wasichana kwa kuwapatia mafunzo ya awali yanayowaweza kujiandaa na kufanya vizuri katika mitihani ya usaili kabla ya kujiunga na masomo ya sayansi.

Akaeleza kuwa kupitia utaratibu huo idadi ya wanafunzi wasichana wanaochukua masomo ya Sayani imepanda kutoka asilimia 7 mwaka 2003-2004 hadi kufikia asilimia 27 mwaka 2007-2008. Aidha idadi ya wasichana wanaojiunga na elimu ya juu imeongezeka kutoka asilimia 32.2 hadi kufikia asilimia 35.5.

Kuhusu ushiriki wa wanawake katika ngazi za maamuzi, Mhe. Ummi Mwalimu anasema, Baada ya kutambua tatizo la ushii mdogo wa wanawake katika ngazi za maamu, iliamua kwa makusudi kupitia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kutoa mwanya wa kuongeza ushiriki wa wanawake katika Bunge na mabaraza ya Serikali za Mitaa.

Kutokana na marekebisho hayo, idadi ya wabunge wanawake ni asilimia 35 ya viti vyote kukiwa na ongezeko la wabunge wanawake kutoka 63 mwaka 2004 hadi 125 huku nafasi ya Spika wa bunge ikishikiliwa na mwamamke. Kwa upande wa Baraza la Wawakilishi uwiano wa wanake katika baraza hilo ni asilima 30.

Kwa upande wa vitendo vya udhalilishaji dhidi ya wanawake na watoto wa kike, Naibu Waziri anasema kuwa serikali imepitisha sheria mbalimbali dhidi ya wale wanaokiuka haki za wanawake na watoto wa kike.

“tumejitahidi kutimiza wajibu wetu kwa kuendana na matakwa ya kimataifa kuhusu maendeleo, ulinzi na usawa wa wanawake. Aidha Serikali imeingia, imesaini au imeridhia mikataba ya kimataifa inayohusiana na maendeleo na ulinzi wa wanawake” anasisitiza Naibu Waziri Ummi Mwalimu.

Ameihakikishia kamisheni hiyo ya Hali ya Wanawake kwamba Tanzania inaendelea na jukumu la kuhakikisha inaondoa mifumo yote inayomkandamiza mwanamke kwa kuzingatia malengo na maudhui ya mikataba na matamko ya kimataifa.