Swala Ya Eid-el-Hajj Zanzibar

Eid_zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein,pamoja na Viongozi wengine wakijumuika na waislamu na wananchi katika  swala ya EID el Hajj katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar juzi.

https://sjposters.files.wordpress.com/2012/10/img_8836.jpg
Baadhi ya Waislamu  wakisikiliza Hotba,baada ya Swala ya Eid el Hajj iliyotolewa na Sheikh Soraga,katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar juzi.

https://sjposters.files.wordpress.com/2012/10/img_8875.jpg
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na waumini ya Dini ya Kiislamu baada ya kuswali swala ya  EID el Hajj katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar juzi. Picha na Ramadhan Othman, Ikulu Zanzibar.

Advertisements