Swala Ya Eid el Fitr Dar es Salaam Leo

dar

Imam Mkuu wa Msikiti wa Manyema, Sheikh Hamad Jongo akiswalisha Swala ya Idd el Fitri, ambayo kimkoa imeswaliwa leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waumin wa Kiislam kutoka maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam, wakishiriki kwenye Swala ya Idd el Fitri, ambayo kimkoa imeswaliwa leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Imam Mkuu wa Msikiti wa Manyema, Sheikh Hamad Jongo akitoa hotuba wakati wa Swala ya Idd el Fitri, ambayo kimkoa imeswaliwa leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waislamu kutoka maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam, wakifuatilia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Imam Mkuu wa Msikiti wa Manyema, Sheikh Hamad Jongo wakati wa Swala ya Idd el Fitri, ambayo kimkoa imeswaliwa leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba katika swala ya Idd el Fitr, kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s