Swala Ya Eid el Fitr Unguja Leo

eid unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dk. Amani Abeid Karume kabla ya kuanza kwa Swala ya Idd el Fitri iliyosaliwa Kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman, Mjini Unguja. Kati yao ni Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.
 
 
Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji ,akiswalisha Swala ya Idd el Fitri, ambayo kitaifa iliswaliwa leo katika viwanja vya Maisara Suleiman, mjini Unguja leo katika kufuatia kumalizika kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waislamu wakiwa katika swala ya Idd el Fitri, iliyoswaliwa kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman, mjini Unguja, kufuatia kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Waislamu wakiswali swala ya Idd el Fitri katika viwanja vya Maisara Suleiman, mjini Unguja, kufuatia kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Imamu Mkuu wa Masjid Mushawal Mwembeshauri, Sheikh Mziwanda Ng’wali Ahmed, akitoa hutuba ya swala ya Idd el Fitri, katika viwanja vya Maisara Suleiman, mjini Unguja leo.
Viongozi wakiitikia dua ikiongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Saleh Omar Kaabi, baada ya kumalizika kwa swala ya Iddi el Fitri leo.
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s