Eid-el-Hajj Leicester, UK

leicester

Kwa mara nyingine tena Jumuia ya An Noor ya mjini Leicester nchini Uingereza Iliwakaribisha Waislamu kutoka Leicester na vitongoji mbali mbali kusherehekea Eid el Adh-ha Jumatano ya tarehe 15 Oktoba 2013, Masjid An Noor iliyopo kati kati ya mji iliofurika waumini, wake kwa waume, na kuiachia Kamati Kuu ya Jumuia ya An Noor changamoto ya kutafakari hali itakuwaje Inshaallah pale sherehe nyingine za Eid zitapofanyika mwakani.
Msikiti ulijaa na kusababisha baadhi ya Waumini kulazimika kuhamia misikiti ya jirani! Pamoja na changamoto hizo, ni dhahiri kulikuwa na mazingira ya kupongezana si tu kwa sababu ya Kusherehekea kukamilika kwa ibada ya Hijja, lakini pia kwa mafanikio ya jamii ya Waislamu kutoka Afrika Mashariki kuweza kufikia malengo yake ya kuwa na kituo cha Kiislamu kati kati ya mji wa Leicester.
Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi ya Jumuia hii:
madrasatulnoor.01@gmail.com
au Kwa simu:
Mwenyekiti- Mohammed Omar 44 7903 978481
Makamu- Abdul Dau 44 779 2104495
Katibu-Omar Hussein 44 756 5512058
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s