Sherehe Ya Eid-el-Hajj, Marekani

eid

Imam Hussein Ibrahim akiongoza swala kwenye sherehe y Eid iliyofanyika Jumanne Oct 15, 2013 DMV na kuhudhuriwa Watanzania wa DMV, USA.
Waumini wa dini ya Kiislam wakiswali kwenye sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland na kuhudhuriwa na Watanzania na marafiki zao waishio DMV na vitongoji wa jirani.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislam DMV (TAMCO) Bwn. Yusuf(kati) akiongea jambo kwenye sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland Jumanne Oct 15, 2013 wengine kwenye picha ni Imam Hussein Ibrahim (kushoto) na mjumbe wa bodi ya udhamini ya TAMCO, Bwn. Seif Ameir
Kutoka kushoto ni Dkt. Hamza Mwamoyo, Jasmine Barnett, Rais wa Jumuiya DMV bwn. Idd Sandaly na Mganga Muhombolage wakiwa meza kuu.
Watanzania waliohudhuria sherehe ya Eid.
Aunt Asha na mumewe.
Moza kutoa New York akiwa kwenye sherehe hiyo ya Eid iliyofanyika DMV Jumanne Oct 15, 2013
Watanzania waliohudhuria sherehe hiyo.
Watanzania na marafiki zao wakiwa kwenye sherehe ya Eid
wakati wa chakula.
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s