Mtanzania Afariki Marekani Ndugu Wa Marehemu Watakiwa Kujitokeza

20140327-093544.jpg

Habari kutoka Madison Wisconsin nchini Marekani zinasema kuwa mtanzania, Michael Agustine Lukindo (pichani), amefariki Dunia na hakuna taarifa zozote kuhusiana na ndugu zake. Lukindo ambaye ni mwenyeji wa Mkoa wa Tanga ameacha mke na watoto wanne.

Kwa mujibu wa rafiki wa marehemu, Oliver Temba juhudi za kuwapata ndugu zake hazikufanikiwa. Marehemu Michael Lukindo amefariki dunia mjini Madison Wisconsin-USA, kutokana na hali hiyo familia ya marehemu imewaomba ndugu wea marehemu kujitokeza au kama kuna mtu yeyote mwenye taarifa za kupatina kwa ndugu zake ajitokekeze.

Kwa mujibu wa Oliver, mazishi ya marehemu Michael Lukindo yatafanyika siku ya Jumamosi na mwili wake utachomwa moto, marehemu Michael Lukindo amekuwa akiishi Marekani kwa zaidi ya miaka 30 na ameacha mke ‘African amerika’, na watoto wanne.>

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s