Malaysia Welcomes New Year 2015

/home/wpcom/public_html/wp-content/blogs.dir/266/50465141/files/2014/12/img_0672.jpg

Fireworks explode near Malaysia’s landmark Petronas Towers during the New Year celebrations in Kuala Lumpur.

Advertisements

Japan Welcomes New Year 2015

/home/wpcom/public_html/wp-content/blogs.dir/266/50465141/files/2014/12/img_0673.jpg

People release balloons to celebrate the New Year during an annual countdown ceremony in Tokyo, Japan.

Maadhimisho Ya Miaka 53 Ya Uhuru Wa Tanzania Bara Yafana Jijini Dar

IMG_0641.JPG

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mikono wananchi waliofurika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara akiwa katika Gari maalum liliozunguka katika uwanja huo. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange.

IMG_0642.JPG

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama lilioandaliwa katika sherehe za kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

IMG_0643.JPG

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Viongozi wa Kitaifa wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika kilele cha sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.