Tangazo La Dharura!

Inna lillahi wa Inna ilayhi raaji’oun.

Kifo cha ndugu yetu kilichotokea Milton Keynes, UK, bado ndugu zetu hawajafikia malengo ya kufikisha kima kinachotakiwa kukidhi haja zote za maziko na malengo mengine ya kijamii, ya waliomzunguka.

Maziko yanatarajiwa Alhamis ya tarehe 04 June 2015 baada ya kupata mwili kwenye majira ya adhuhuri kutokana na wahusika, in shaa allah.

Kama kuna chochote utakachojaaliwa kutoa kama ni mchango wako, tuma kwenye akaunti ya benki ifuatayo:

Bank: Natwest

Name: Muhammad M. Y.

Account no: 36555673

Sort code: 51-70-14

Reference: Muna

Ni wajib kwetu kumzika ndugu yetu wa Kiislam.

Marehem ameacha Mke nyumbani Zanzibar, na mtoto wa miezi 8, na Mkewe ni mja mzito tena anatarajia mtoto mwingine hivi karibuni.

Allah amghufirie madhambi yake na ampe jannat firdous na aipe subra familia yake, in shaa allah, amen.

Kwa habari zaidi wasiliana na:

Abdallah Mohammed 07716607908 (UK), Mohammed 079501307276 (UK).

Kwa niaba ya wafiwa:

Salama Trust: http://www.salamatrust.com

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s