Eid-el-Fitr Prayer In China

eid china

Muslims pray on Eid el-Fitr at the Niujie Mosque in Beijing, capital of China. Millions of Muslims across China began celebrating Eid el-Fitr, which marks the end of the Islamic holy month of Ramadhan.

Advertisements

Makamu Wa Rais Dk. Bilal Katika Swala Ya Eid-el-Fitr Ya Kitaifa Iliyofanyika Mkoani Geita, Tanzania

eid geita

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal akiwa na waumini wengine wa Kiislam katika swala ya sikukuu ya Eid-el-Fitr iliyofanyika kitaifa mkoani Geita, Tanzania.

Eid El-fitr 2015 (1436 AH) Announcement

image

The High Judiciary Council of Saudi Arabia have announced that since the moon of Shawwaal was sighted this evening, here in Saudi Arabia, we have completed twenty nine (29) days of Ramadhaan (1436 A.H.), in accordance with the hadeeth of the Messenger of Allaah (sal-Allaahu `alayhi wa sallam):

«Fast when you see the crescent. If it is obscured to you, then complete thirty days of Sha’baan. And break your fast when you see the crescent. If it is obscured to you then fast thirty days», [transmitted by al-Bukhaaree and Muslim].

Subsequently, we shall be celebrating ‘Eed al-Fitr tomorrow, Friday 17th July 2015, in shaa.-Allaah

Ramadhan 2015

A man reads the Koran at the Grand Mosque in Yemen's capital Sanaa ahead of the holy month of Ramadan June 17, 2015. REUTERS/Khaled Abdullah - RTX1GXLO

A man reads the Qur’an in the holy month of Ramadhan at the Grand Mosque in the capital Sanaa, Yemen.

Mashindano Ya Qur’an Ya Taifa 2015 (1436 AH) – Tanzania

asf logo

Assalaam alaykum,

Aisha Sururu Foundation inawataarifu fainali ya mashindano ya kuhifadhi Qur’an takatifu ya kitaifa ya mwaka 2015 (1436 AH) yatafanyika Jumapili hii ya tarehe 05/07/2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Hall ambapo vijana wanawake na waume walioshiriki katika mashindano hayo watapigania nafasi zao za kwanza mbele ya umma na wageni waalikwa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan.

Mwaka huu Aisha Sururu Foundation imeshirikisha mikoa 11 ya Tanzania ikiwemo visiwa vya Zanzibar na Pemba. Baadhi ya vijana washindanao kutoka Bukoba ni vijana walemavu wa macho. Njoo uje ushuhudie uwezo wa Allah (Mwenyezi Mungu) vipi walemavu wa macho na vijana wengineo walivyojiwezesha kufika kwenye jukwaa la mashindano ya kuhifadhi Qur’an ya kitaifa ya mwaka 2015.

Uongozi wa Aisha Sururu Foundation unawaalika Watanzania wote waje pamoja kushuhudia mashindano haya na kuwashajiisha vijana wote walioshiriki katika mashindano haya ya kitaifa ya mwaka 2015.

Ukumbi wa Diamond Jubilee Hall

Tarehe 05/07/2015, Jumapili

Kuanzia saa mbili asubuhi (8am) mpaka saa nane mchana (2pm)

Wageni rasmi waalikwa ni: Sheikh Othman Maalim, na, Mbunge wa wilaya ya Ilala mheshimiwa Mussa Azan (Zungu).

Wote mnakaribishwa.

Wabillahi tawfeeq,

Ramadhan Mubaarak.

Ahsanteni.

Aisha Sururu Foundation.