Muwaliko Wa Kongamano La Kuiombea Dua Taifa – Tanzania

image

Assalaam alaykum,

Taasisi ya Aisha Sururu Foundation inawaalika wanafunzi na vijana wote wa Kiislam kwenye kongamano la kuiombea dua taifa la Tanzania juu ya Amani, Umoja na Utulivu. Kongamano hili limeandaliwa na mwanaharakati katika mambo ya kidini na kijamii Mheshimiwa Bi Aisha Sururu.

Kongamano la dua hii ya kuiombea taifa kwa qudra za Allah (s.w.t) litahusisha masheikh mbalimbali kutoka nchini akiwemo Kaimu Mufti wa Tanzania, ambao watagusia mada na kutoa nasaha mbalimbali juu ya amani nchini Tanzania.

Wanafunzi wa kuanzia form 1 mpaka  mpaka form 6, vyuo na vyuo vikuu, na vijana wote wa Kiislam kwa ujumla mnakaribishwa.

Kongamano hili litafanyika Jumapili ya tarehe 6 Septemba 2015, kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa nane mchana, in shaa allah, kwenye viwanja vya shule ya Benjamin Mkapa iliyopo jijini Dar es Salaam.

Watumie, wajulishe na wafikishie ujumbe huu kwa wote unaowajua.

Wabillahi tawfeeq.

Ahsanteni.

Aisha Sururu Foundation

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s