Mashindano Ya Qur’an Tanzania Yaliyofanyika Uwanja Wa Uhuru Dar es Salaam


Maelfu ya waumini wa dini ya Kiislam toka maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam na mikoani wamejitokeza kwenye mashindano ya kusoma Qur’an Tukufu kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.Vijana kwa wazee wamejitokeza kushuhudia mashindano hayo.


Wengine wengi walibaki nje ya uwanja baada ya nafasi kujaa ndani.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s