Swala Ya Eid-el-Fitr Dar es Salaam

eid6

eid5

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijumuika pamoja na Waumini wengine wa dini ya Kiislam, akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mufti wa Tanzania, Alhaj Sheikh Abubakar Zubeir, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhaj Mussa Salum pamoja na Naibu Mufti, Sheikh Hamid Jongo katika swala ya Eid-el-Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es Salaam, jana, kusherehekea kumalizika kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

eid3.jpg

Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam waliohudhuria katika swala ya Eid-el-Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, jana, kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

eid2.jpg

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pichani akiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Hapi, katika swala ya Eid-el-Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es Salaam, jana, kusherehekea kumalizika kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

eid1

eid4.jpg

Mufti wa Tanzania, Alhaj Sheikh Abubakar Zubeir akitoa neno mbele ya Waumini wa dini ya Kiislam katika swala ya Eid-el-Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, jana, kusherehekea kumalizika kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s