Swala Ya Eid-el-Fitr Jijini Tanga

213A5397

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano, Mazingira) Mh. January Makamba  (wanne kushoto) akishiriki swala ya Eid na waumini wengine wa dini ya Kiislam waliojumuika kwenye msikiti wa Ijumaa mjini Tanga, jana, kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

213A5375

Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam waliohudhuria katika swala ya Eid-el-Fitr iliyoswaliwa kwenye msikiti wa Ijumaa, mjini Tanga, jana, kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

213A5389

Mheshimiwa January Makamba akisikiliza mawaidha mara baada ya swala ya Eid-el-Fitr jijini Tanga, jana.

213A5416

Mheshimiwa January Makamba akipeana mkono wa Eid na baadhi ya Waislam waliohudhuria kwenye swala ya Eid-el-Fitr jijini Tanga, jana.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s