MHESHIMIWA JOB NDUGAI ATOA MUHTASARI WA KUANZA KWA MKUTANO WA TANO WA BUNGE LA KUMI NA MOJA

Advertisements

HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI KATIKA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI NCHINI KENYA

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa John Pombe Magufuli awasili Kenya katika ziara ya siku mbili ya kikazi na kuimarisha urafiki na udugu wa siku nyingi baina ya nchi mbili na watu wake

  • Rais Magufuli katika hotuba yake aainisha uhusiano wa kihistoria, kidugu, kirafiki, kitamaduni, kisiasa na kiuchumi baina ya nchi mbili tangu wazee wetu wa mataifa mawili haya

  • Ahimiza uwekezaji kukuza uchumi, faida za ushirikiano wa kimipaka baina ya nchi mbili, usalama wa taifa na ushirikiano wa wizara za mambo ya nje

  • Afarijika kwa mapokezi mazuri na kwa heshma ya kupigiwa mizinga 21 na kutoa heshma katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Kenya, Hayati Mzee Jomo Kenyatta

  • Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta amesema amefarijika katika ujio huo wa Rais Magufuli na ameahidi kuendeleza ushirikiano baina ya nchi mbili