WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHAMIA RASMI DODOMA

Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa atimiza ahadi yake ya kuhamia Dodoma mwezi wa tisa, ikiwa kama ni awamu ya kwanza ya silsila za awamu zingine zifuatazo za uhamiaji wa makao makuu ya Tanzania. Waziri Mkuu aliwasili Dodoma rasmi jana tarehe 30 Septemba 2016.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s