WAJASIRIAMALI WANAWAKE WAPONGEZWA KWA UJASIRI WAO WA KUJITUMA KIBIASHARA

  • Makamu wa Rais Mheshimiwa Bi Samia Suluhu asikiliza hoja za wajasiriamali wanawake wa Kariakoo, jijini Dar es Salaam na awapa dondoo za kero hizo

  • Mlezi na Mwanaharakati wa Wanawake, Muandamizi Mheshimiwa Mama Salma Kikwete awapongeza Wanawake hao kwa ujasiri wao wa kujituma kibiashara kuwa ni mfano bora kwa jamii

  • Awapongeza kwa kuunda umoja wa kuwapeleka mbele kimaendeleo

  • Viongozi wote wamesisitiza Elimu Kwanza ili kuweza kujua wapi ulipo na unapoelekea

  • Mwenyekiti wa jumuiya ya wajasiriamali hao Bi Mwamvua Kinanda awafiki Elimu na Mitaji ndio chanzo cha kujikwamua kiuchumi

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s