MKUU WA MKOA PAUL MAKONDA AENDELEA KUTIMIZA AHADI ZAKE ZA KUMSAIDIA ALIYEATHIRIWA MACHO

  • Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda aendelea kutimiza ahadi zake moja moja alizoziahidi kumtimizia kijana Said Ali aliyeathiriwa macho yake yote mawili na kukosa kujisaidia wakati familia yake inamtegemea yeye

  • Mbali na mchango huu mahsusi wa Bajaji mbili uliyotolewa na msikiti wa Mabohora uliopo Upanga, jijini Dar es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda amefafanua juu ya mchango wake na ameendelea kusisitiza kwa wote walioguswa na hili wajitokeze kwa kumchangia muathiriwa kwa njia moja au nyingine

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s