WIZARA YA MAMBO YA NJE TANZANIA YATOA UFAFANUZI JUU YA USHIRIKIANO WA UMOJA WA AFRIKA MASHARIKI

  • Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Biashara na Uwekezaji na Sekta ya Uzalishaji bwana Bernard Haule ameiwasilisha Wizara ya Mambo ya Nje kwa kuvunja ukimya unaoshadidiwa na baadhi ya watu ndani na nje ya nchi kuhusu ushirikiano wa umoja wa Afrika Mashariki

  • Bwana Bernard Haule amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru na yenye kuangalia maslahi yake kwanza, kama nchi nyingine zilivyofungamana na nchi nyingine kwenye umoja huo kwa kuangalia maslahi yao na kwamba Tanzania haihitaji nguvu za nje kuchochea jinsi Tanzania itakavyo jishughulisha katika umoja huo Kitalii, Kiuchumi na mengineyo

  • Bwana Bernard Haule ameshauri kwamba mbali na Tanzania, madamu makubaliano ya ushirikiano yaliyokubaliwa na nchi nyingine za Afrika Mashariki zimewafikiana basi amewaomba nchi hizo ziendelee kuangalia maslahi yao wakati Tanzania inaendelea kuangali mfumo imara wa maslahi yake ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki

  • Amemalizia kusema kwamba mbali na Tanzania, nchi hizo zimeamua kufanya mikutano ya makubaliano ya ushirikiano wa kimaslahi bila ya kuishirikisha Tanzania kwahiyo bila ya kuonekana kama Tanzania inaburuzwa kwenye makubaliano hayo, ameomba Tanzania ipewe muda kufanya maamuzi yake kwa maslahi yake

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s