MHESHIMIWA JOYCE NDALICHAKO ATOA UFAFANUZI JUU YA MIKOPO YA WANAFUNZI UDSM

  • Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mheshimiwa Joyce Ndalichako atoa ufafanuzi juu ya mikopo ya wanafunzi wa chuo kikuu cha UDSM

  • Asema kuwa mikopo ya wanafunzi inatokana na uhitaji ambayo bodi ya mikopo inatumia vigezo vipya kutoa mikopo hiyo na amesema kuwa zoezi hilo bado linaendelea

  • Aainisha kuwa moja ya vigezo ni kuangalia uwezo wa wanafunzi waliofanya vizuri kutoka shule walizotoka

  • Aainisha kuwa amejikita na kazi kubwa ya kusafisha na kutengeneza mfumo mzuri wa elimu kwa wote kwa ujumla

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s