WAZIRI MKUU MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA ASISITIZA ELIMU YA DIRA

  • Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa wakati wa kufunga maadhimisho ya miaka 55 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ambacho ni chuo asasi na hazina ya Mwalimu Nyerere, aainisha pengo la wahadhiri waandamizi na maprofesa katika chuo hicho na nchini kwa ujumla na aahidi serikali itasimamia kuziba kuziba pengo hilo

  • Amesema pia, kipa umbele ipewe kwenye taaluma zenye kukidhi matakwa ya dira ya taifa

  • Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mheshimiwa Profesa Rwekaza Mukandala, amesema maendeleo mengi yameonakana kufanyika ya kuendelezwa kwa chuo hicho kuwa chuo cha kisasa ikiwemo majengo ya kampasi na maabara na ujenzi wa majengo mapya ya hosteli za wanafunzi

  • Mheshimiwa Mukandala ametoa shukran nyingi kwa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano kwa ujenzi wa majengo mapya ya hosteli za wanafuzi ambayo ilikuwa ni kero ya muda mrefu kwa wanafunzi chuoni hapo

  • Amesema pia, katika siku iliyowekwa jiwe la msingi wa majengo hayo, Mheshimiwa Rais Magufuli ameagiza kila jumba la hosteli liongezwe ghorofa mbili zingine kwenda juu kukidhi haja za wanafunzi wa chuo hicho

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s