MFALME MOHAMMED VI WA MOROCCO AJUMUIKA NA WAISLAMU KATIKA SWALA YA IJUMAA ZANZIBAR

1mohammed-vi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, na mgeni wake Mfalme Mohammed VI wa Morocco, wakiitikia dua baada ya ibada ya Swala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Mushawar, Muembe Shauri, Zanzibar iliyosomwa na Sheikh Fadhil Soraga.

2mohammed-vi

Mfalme Mohammed VI wa Morocco akimuonyesha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Qur’an (Misahafu) ambayo aliitowa zawadi kwa waumini katika Msikiti wa Mushawara, Muembe Shauri, Mjini Zanzibar.

3mohammed-vi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiagana na mgeni wake Mfalme Mohammed VI wa Morocco baada ya kumaliza swala ya Ijumaa mjini Zanzibar.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s