RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

  • Ni mwaka mmoja tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa John Pombe Magufuli kuchukua ofisi ya Urais. Mambo mengi ya maendeleo yamefanyika hadharani na mengine mengi yamefanyika nyuma ya pazia ambayo wananchi wengi hawajayaona na wala hawajayasikia.

  • Leo, Mheshimiwa Rais Magufuli amefungua pazia kwa wanahabari wa Tanzania kuyajibu masuali yote na masuali yoyote ambayo yanahitaji bayana baina ya wananchi na serikali ya awamu ya tano na uongozi wake, ili kuondosha sintofahamu iliyopo katika baadhi ya mambo, yakiwamo Uchumi kwa ujumla, Elimu, Afya, Habari, Utamaduni, Michezo, Utalii, Maudhui yote ya kisiasa ya ndani ya nchi, Uhusiano wa nchi za nje, Mustakbali na Changamoto zilizopo za maendeleo zinazo likabili taifa kwa ujumla.

  • Masuali na Majibu kwenye baadhi ya video zifuatazo:

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s