MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI NA MHESHIMIWA RAIS JIM YONG KIM WA BENKI YA DUNIA WAWEKA JIWE LA MSINGI WA UZINDUZI WA MRADI WA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU (FLYOVER), UBUNGO, JIJINI DAR ES SALAAM

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli ahudhuria kwenye uzinduzi wa mradi wa makutano ya barabara za juu (Flyover), Ubungo, jijini Dar es Salaam

  • Aelezea ufumbuzi na changamoto zinazoyakabili mabasi ya mwendokasi hivi sasa, kutokana na misongamano ya magari katika makutano ya Ubungo na sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam. Mojawapo ya ufumbuzi huo, ikiwemo ujenzi wa barabara za juu (flyover) mpya zitakazojengwa Mwenge, Magomeni, Tabata na barabara ya Morocco

  • Aelezea jinsi alivyobana matumizi mbalimbali tangu alipoingia madarakani ili kupunguza gharama za mapato ya serikali na kupeleka matumizi hayo kwenye maendeleo muhimu ya wananchi wote kwa ujumla

  • Aelezea mipango na miradi mbalimbali mipya na mikubwa ya miundombinu yenye viwango vya kimataifa nchini Tanzania, bara na visiwani. Awaomba wananchi kuiangalia na kuitunza miundombinu ya barabara zote kwa faida ya wananchi wote wa Tanzania kwa ujumla

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s