MWENYEKITI WA CCM MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA (CPC) MHESHIMIWA GUO JINLONG

barua 1

barua 2

magufuli 1

Mwenyekiti wa CCM taifa, Rais Dokta John Pombe Magufuli akimkaribisha Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mheshimiwa Guo Jinlong, Ikulu, jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo, leo Jumatano Machi 22, 2017 .

magufuli 2

Mwenyekiti wa CCM taifa, Rais Dokta John Pombe Magufuli katika mazungumzo akimsikiliza kwa makini Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mheshimiwa Guo Jinlong na ujumbe wake uliowasili, Ikulu, jijini Dar es Salaam, Jumatano Machi 22, 2017.

magufuli 3

Mwenyekiti wa CCM taifa, Rais Dokta John Pombe Magufuli akiongozana na Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mheshimiwa Guo Jinlong, Ikulu, jijini Dar es salaam, Jumatano Machi 22, 2017.

magufuli 4

Rais Dokta John Pombe Magufuli akifurahia na mgeni wake Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mheshimiwa Guo Jinlong alipokuwa akisalimia viongozi mbalimbali, Ikulu, jijini Dar es salaam, Jumatano Machi 22, 2017.

magufuli 5

Mwenyekiti wa CCM taifa, Rais Dokta John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mheshimiwa Bi Samia Suluhu, Mheshimiwa Philip Mangula na wawakilishi wengine, katika picha ya pamoja na Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mheshimiwa Guo Jinlong, na ujumbe wake, Ikulu, jijini Dar es salaam, Jumatano Machi 22, 2017.

magufuli 6

Mwenyekiti wa CCM taifa, Rais Dokta John Pombe Magufuli na Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mheshimiwa Guo Jinlong, wakishuhudia Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, na Balozi wa China Nchini Tanzania, Dokta Lu Youqing, wakitia saini mkataba, moja ya mikataba mitatu.

magufuli 7

Mwenyekiti wa CCM taifa, Rais Dokta John Pombe Magufuli na Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mheshimiwa Guo Jinlong, wakishuhudia Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Dokta Aziz Mlima na Balozi wa China Nchini Tanzania, Dokta Lu Youqing, wakitia saini mkataba, moja ya mikataba mitatu.

magufuli 8

Mwenyekiti wa CCM taifa, Rais Dokta John Pombe Magufuli na Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mheshimiwa Guo Jinlong, wakishuhudia na Kamishna Mkuu wa Intelejensia ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Mheshimiwa Fred Kibuta, na Balozi wa China Nchini Tanzania, Dokta Lu Youqing, wakitia saini mkataba, moja kati ya mikataba mitatu.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s