RAIS WA ZANZIBAR MHESHIMIWA ALI MOHAMMED SHEIN APOKEA UJUMBE KUTOKA CHINA

shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dokta Ali Mohammed Shein, akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mheshimiwa Guo Jinlong, Ikulu, Zanzibar.

Advertisements