MHESHIMIWA NAPE NNAUYE AMKABIDHI OFISI MHESHIMIWA HARRISON MWAKYEMBE

  • Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Nape Nnauye amemkabidhi rasmi Mheshimiwa Harrison Mwakyembe ofisi mjini Dodoma leo

  • Mheshimiwa Nape amewaomba Watanzania kuendelea kuwa na imani naye na amempongeza na kumshukuru Rais Magufuli na amesema ataendelea kumuunga mkono katika kuleta mabadiliko ya maendeleo ya Tanzania mpya

  • Mheshimiwa Nape ameomba watu kuondoa dhana mbaya ya kuwa yeye atatoka CCM, amesema CCM ni chama bora sana na ataendela kukijenga

  • Mheshimiwa Mwakyembe ampongeza Mheshimiwa Nape kwa kazi kubwa aliyoifanya na ataendelea kuomba muongozo kutoka kwake kwa kazi nyingine zilizobaki kufanyiwa kazi ambazo Mheshimiwa Nape ndiye aliyekuwa chachu wa kazi hizo zinazosubiri kutekelezwa

  • Mheshimiwa Wambura naye amemshukuru Mheshimiwa Nape kwa kumuamini kumpa majukumu ya kikazi na ushirikiano mkubwa

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s