ALIYECHORA NEMBO YA TAIFA ‘UHURU NA UMOJA’ APATIWA MATIBABU NA SERIKALI

  • Aliyechora nembo ya taifa ‘UHURU NA UMOJA’ uhuru na umoja apatiwa matibabu na serikali kwa mchango wake mkubwa kwa taifa

  • Mzee Francis Maige Kanyasu, mzaliwa wa Misungwi karibu na Geita, Mwanza, ambaye alikuwa akiishi Buguruni kwa Malapa, Ilala, Dar es Salaam, alilazwa hospitali ya Amana, Ilala, Dar es Salaam, baada ya kuumwa na maumivu ya mwili mpaka kijana anayemjua kutoa taarifa hizo kwenye yombo vya habari

kanyasu

  • Hatimaye habari hizo kufika bungeni na kuchukuliwa hatua na serikali kwa kupitia Naibu wa Wizara ya Afya, Mheshimiwa Khamis Kigwangalla na kumpatia matibabu bora zaidi kwenye hospitali ya Muhimbili

  • Mzee Kanyasu amesema, nembo ya taifa ameitunga yeye na Mzee Ali Panga wa kutoka wilaya ya Pangani, ambaye hivi sasa ni marehemu

  • Alimuelezea Mheshimiwa Kigwangalla kuwa, alipiga picha na baba wa taifa na marais wengine wastaafu na angependelea kukutana na Rais Magufuli ili amzawadie yeye picha hizo. Mzee Kanyasu aliondoka kwenye hospitali ya Amana na kuhamishiwa hospitali ya Muhimbili akionekana akiwa na furaha kubwa kwenye uso wake

francis maige kanyasu

Picha na Michuzi blog

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s