MASHEIKH NA VIONGOZI WAKUBWA WA DINI YA KIISLAM WAMEHUDHURIA MASHINDANO YA QUR’AN 2017 (1438 A.H.) VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM LEO

IMG-20170610-WA0109

IMG-20170610-WA0108

IMG-20170610-WA0071

IMG-20170610-WA0107

IMG-20170610-WA0110

IMG-20170610-WA0105

IMG-20170610-WA0137

IMG-20170610-WA0106

IMG-20170610-WA0036

Picha za juu, Masheikh na Viongozi mbalimbali wa dini ya Kiislam waliohudhuria katika mashindano ya Qur’an yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo.

IMG-20170610-WA0046

Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir akiwapa nasaha waumini wa dini ya Kiislam waliohudhuria katika mashindano ya Qur’an yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo.

IMG-20170610-WA0112

Sheikh Nurdin Kishki akiwapa nasaha waumini wa dini ya Kiislam waliohudhuria katika mashindano ya Qur’an yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo.

IMG-20170610-WA0100

Baadhi ya waumini wa Kiislam na washindani wa mashindano ya Qur’an waliohudhuria kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo.

IMG-20170610-WA0104

Baadhi ya waumini wa Kiislam waliohudhuria kwenye mashindano ya Qur’an kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo.

IMG-20170610-WA0111

Baadhi ya waumini wa Kiislam waliohudhuria kwenye mashindano ya Qur’an kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo.

IMG-20170610-WA0103

Baadhi ya waumini wa Kiislam waliohudhuria kwenye mashindano ya Qur’an kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo.

IMG-20170610-WA0116

Masheikh wa dini ya Kiislam na viongozi wakubwa akiwamo Sheikh Basaleh na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad, kwenye mashindano ya Qur’an yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo.

IMG-20170610-WA0101

IMG-20170610-WA0049

Maskauti wakimsindikiza kwenye jukwaa mlemavu wa macho aliyehifadhi Qur’an.

IMG-20170610-WA0114

Mgeni wa heshma, Mke wa Makamu wa Rais Mstaafu, Mama Zakia Bilal, akitoa nasaha kwa waumini wa dini ya Kiislam waliohudhuria katika mashindano ya Qur’an yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo.

IMG-20170610-WA0115

Mwenyekiti na Mlezi wa Mashindano ya Qur’an ya Aisha Sururu Foundation, Bi Aisha Sururu, akitoa nasaha kwa waumini wa dini ya Kiislam waliohudhuria katika mashindano ya Qur’an yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo.

IMG-20170610-WA0041

IMG-20170610-WA0117

IMG-20170610-WA0118

Baadhi ya zawadi zilizozawadiwa kwa washindi wa mashindano ya Qur’an yaliyoandaliwa na taasisi ya Aisha Sururu Foundation.

Wabillahi tawfeeq.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s