MASHEIKH, VIONGOZI WAKUBWA WA DINI YA KIISLAM NA MAELFU YA WATU WAMEHUDHURIA MASHINDANO YA QUR’AN 2017 (1438 A.H.) UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM LEO

QU1

Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa akizungumza katika kilele cha Mashindano ya 18 ya Afrika ya Kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

QU2

Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa akizungumza katika kilele cha Mashindano ya 18 ya Afrika ya Kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

QU4

Maelfu kama si malaki ya waumini wa dini ya Kiislamu waliohudhuria kwenye mashindano ya Qur’an kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, leo.

QU3

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi , Mohammed Abdullah Aden (12) wa Somalia hundi ya shilingi milioni 15, 750,000/= mshindi wa kwaza wa mashindano ya 18 ya Afrika ya Kuhifadhi  Qur-an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

QU6

Rais Mstaafu wa Awamu ya  Pili na Mlezi wa Taasisi ya Al- Hikima Foundation, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza katika  kilele cha Mashindano ya 18 ya Kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

QU5

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda akizungumza katika mashindano hayo yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo.

QU7

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mufti na  Sheikh Mkuu wa Tanzania  Sheikh Abubakr Zubeir bin  Ally (kulia) na Sheikh Sharif Abduqadir Mohamed Ahmed Al Ahdar ambaye ni Rais wa Taasisi ya Al – Hikima Foundation na Mlezi Mwenza wa Taasisi hiyo , katika  Mashindano ya 18 ya Afrika ya  Kuhifadhi Qur-an Tukufu  yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

QU8

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mufti na  Sheikh Sharif Abduqadir Mohamed Ahmed Al Ahdar ambaye ni Rais wa Taasisi ya Al – Hikima Foundation na Mlezi Mwenza wa Taasisi hiyo, katika  Mashindano ya 18 ya Afrika ya  Kuhifadhi Qur-an Tukufu  yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Wabillahi tawfeeq.

Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir katika hotuba yake amesisitiza amani nchini, ameiomba taasisi ya Al Hikma kufuatilia maendeleo ya watoto watakapomaliza mashindano yao ili waje kuwa na mwenendo mzuri baadaye kwa kutumikia jamii na taifa lao. Rais Mstaafu, Mheshimiwa Alhaj Ali Hassan Mwinyi amewakaribisha kwa dhati watu wote waliohudhuria katika hafla ya mashindano ya Qur’an yaliyofanyika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo

 

 

Katika hotuba yake, Mheshimiwa Kassim Majaliwa kahimiza amani nchini, uhuru wa kuabudu kwa dini zote, kupiga vita madawa ya kulevya na kahimiza ulipaji wa kodi ili serikali iweze kusimamia wananchi wake kwenye kudumisha amani nchini. Vilevile, amemuagiza Meya wa Temeke kumpelekea tathmini ya eneo lililo wazi pembeni ya taasisi ya Al Hikma ili taasisi hiyo waweze kulitumia kwa kutoa huduma kwa wananchi

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s