MHESHIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA WASTAAFU, IKULU, JIJINI DAR ES SALAAM

Advertisements

HOTUBA KAMILI YA MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KWA VIJANA WA CCM, AWASISITIZA KUIJUA HISTORIA YA CCM NA NCHI ILIPOTOKA, ILIPO NA INAPOELEKEA, AWAELEZEA MIKAKATI INAYOENDELEA KUFANYWA NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO IKIWEMO VITA DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA NA MIKAKATI YA KUIKWAMUA TANZANIA KIUCHUMI, AWASISITIZA UMOJA NA MSHIKAMANO WAKIWA KAMA VIONGOZI WA LEO NA WA KESHO, APIGA VITA VIKALI UFISADI NA RUSHWA

MADAWA YA KULEVYA BADO NI CHANGAMOTO KUBWA PAMOJA NA JUHUDI KUBWA ZA SERIKALI ZA KUPAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA, WAPIGA DEBE WALIOATHIRIKA NA MADAWA YA KULEVYA WADAI KHERI KUPIGA DEBE KULIKO WIZI WA KUPORA, WAJIELEZEA HALI YAO PALE WANAPOKOSA MADAWA YA KULEVYA, WATOA USHAURI WAO KWA SERIKALI, WAWAONYA VIJANA WENZAO WASIYAKARIBIE MADAWA YA KULEVYA, WAUSIFIA MRADI WA SERIKALI WA VITUO VYA AFYA VYA ‘METHADONE’