MHESHIMIWA HARRISON MWAKYEMBE AMEWASISITIZA WAJUMBE WAKATI WA UCHAGUZI WA URAIS TFF, WASITETERESHWE NA VISHAWISHI VYA MPITO BALI WAWE WAZALENDO KATIKA KUCHAGUA VIONGOZI MAKINI, WENYE ARI, MOYO, UELEWA, WELEDI NA UADILIFU, AWAAMBIA YEYOTE ANAYEWANIA UONGOZI KWA LENGO LA KUJITAJIRISHA AMEPOTEA NJIA

Advertisements