MHESHIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI ATUMA RAMBIRAMBI KWA MHESHIMIWA RAIS KENYATTA KUFUATIA AJALI YA BARABARANI YA TAKRIBAN WATU 36 NCHINI KENYA

Kutoka Ikulu.

Advertisements

MHESHIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AONESHA MFANO WA UONGOZI KWA KUWASILISHA TAARIFA ZA MALI ZAKE ZOTE KAMA INAVYOTAKIWA KATIKA SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA, AMSIHI MHESHIMIWA NSEKELA KUPIGA MSTARI NA KUTOPOKEA FOMU KWA AMBAO HAWATOWASILISHA TAARIFA ZAO IFIKAPO TAREHE 31 DISEMBA 2017, MHESHIMIWA NSEKELA AMERIDHIA UWASILISHAJI WA FOMU HIZO KUTOKA KWA MHESHIMIWA RAIS KWA WAKATI ULIOTAKIWA NA KUAMBATANISHA PAMOJA NA MIAMALA YAKE YOTE YA AKAUNTI YA BENKI YAKE KWA KUONYESHA HANA CHA KUFICHA, AMEPONGEZA MHESHIMIWA NSEKELA

WAKAZI WA MSONGA, PWANI, WAHOJI UONGOZI WA WILAYA HIYO KWA MADAI YA KUTOANGALIWA MASLAHI YAO YA KIUCHUMI KWENYE ZAO LA KOROSHO, WADAI KUKANDAMIZWA BEI NA WAFANYABIASHARA WA KOROSHO – KAMA YALIYOTOKEA MTWARA MIAKA YA NYUMA, WAHOJI MKUU WA MKOA NA MKUU WA WILAYA MAHUSIANO YAO NA WAFANYABIASHARA WA KOROSHO, WADAI UKOSEFU WA KIPATO CHA MSIMU UNAWARUDISHA NYUMA MATAYARISHO YA ELIMU YA WATOTO WAO MWAKANI, WAOMBA BUSARA ZA MHESHIMIWA RAIS KUINGILIA KATI HOJA HIZO