MHESHIMIWA CHARLES MWIJAGE AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA KEMIKALI CHA MSUFINI, MLANDIZI, PWANI

Advertisements

MHESHIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA JENGO LA PSPF NA TAWI LA BENKI YA NMB MJINI DODOMA, JENGO HILO LIMEPEWA JINA LA BABA WA TAIFA ‘KAMBARAGE’, AWASIHI WAFANYAKAZI WA NMB KUPIGA VITA RUSHWA NA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU KAMA ALIVYOKUWA MWENYEWE BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE, MHESHIMIWA CHARLES MAKONGORO AUPONGEZA UONGOZI WA MHESHIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI, ASEMA ‘CHAPA KAZI, SISI WATANZANIA TUPO NA WEWE’

MHESHIMIWA SULEIMAN JAFFO AJIONEA HALI HALISI JINSI MAZINGIRA YA MTO YALIVYOVAMIWA KWA MATUMIZI YA KIBINADAMU KINYUME NA SHERIA NA WANANCHI KUKOSA KUWA NA ELIMU YA UTUNZAJI MAZINGIRA YA MTO, AAGIZA DARAJA KUJENGWA KUWAPA WAKAZI WEPESI WA USAFIRI WAO, AAGIZA ULINZI KWENYE MAENEO HAYO NA KUMCHUKULIA HATUA YEYOTE ATAKAYE ENDELEA NA MATUMIZI YA KIBINADAMU MAENEO HAYO, WAKAZI WASHUHUDIA MABADILIKO MAKUBWA YA UHARIBIFU WA ASILI YA MTO