MHESHIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA JUKWAA LA UONGOZI BARA LA AFRIKA, AAINISHA CHANGAMOTO ZA AFRIKA ZITATATULIWA NA WAAFRIKA, KWA MARA NYINGINE TENA ATAMBUA MCHANGO WA MARAIS WASTAAFU KATIKA UONGOZI WAKE KWA UMMA, AELEZEA UMUHIMU WA MATUMIZI YA RASILIMALI ZA NCHI, AELEZEA SABABU MBALIMBALI ZENYE ATHARI YA UKOLONI ZENYE KURUDISHA NYUMA MAENDELEO YA NCHI ZA AFRIKA, AWATAKIA MKUTANO WENYE TIJA KWA MAENDELEO YA BARA LA AFRIKA