Mwenyekiti Wa NCCR-MAGEUZI Mhe. James Mbatia Aongelea Gongo La Mboto

Ni hali ya kusisimua vipi Viongozi wa vyama tofauti wa nyumbani Tanzania walivyoshikana pamoja katika tukio la Gongo la Mboto bila ya kutizama tofauti zao.

Bila shaka, nataraji wawajibikaji wa maghala ya silaha wanachukua ‘proper safety audits’ za mara kwa mara, na vilevile tumefurahi kuona ‘evacuation plan’ ambayo imeandaliwa kwa hali ya dharura na hatari kama hiyo ingawa bado tutahitaji hifadhi kubwa ya vifaa mbalimbali kama vifaa vya afya, zimamoto, usafiri wa uchukuwaji makundi makubwa ya watu wakati wa dharura na mengineyo muhimu yanayotakikana kuwepo kwenye ‘evacuation plan’.

Viongozi wote wameonyesha hekima kubwa kabisa katika umoja wa taifa letu katika wakati huu.

Tunawaombea kila la kheri kwa waliokutwa na maafa warudi kwenye hali yao ya maisha ya kawaida na wasahau yaliyotokea, waliopotelewa na watoto wao na ndugu zao wapatikane, na tunawaombea waliopoteza maisha yao wapumzika mahala pema. Amen.

Mungu ibariki Tanzania.

Date posted: February 19, 2011

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s