MHESHIMIWA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MWENYEKITI WA ADANI GROUP

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa Adani Group kutoka nchini India Gautam Adani Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.