MHESHIMIWA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN APOKELEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS WA UFARANSA MHESHIMIWA EMMANUEL MACRON KATIKA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UFARANSA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye kikao pamoja na viongozi mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia na mwenyeji wao Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron katika Ikulu ya Paris nchini Ufaransa.