MHESHIMIWA PAUL MAKONDA AONGOZA KONGAMANO LA KAMPENI YA ‘HII NI DAR YETU?’ KUPITIA CHANNEL TEN, KWA UBOVU WA BARABARA ZILIZOPO AINGIWA NA WASIWASI NA WAHANDISI WALIOHAMIA ‘TARURA’ KUTOKA MANISPAA, YABAINIKA TATIZO KUBWA SI PESA, BALI NI UTENDAJI NA UFUATILIAJI WA MANISPAA HUSIKA; NA WAKANDARASI KUWA CHINI YA VIWANGO, MHESHIMIWA MAKONDA AIPONGEZA ‘CHANNEL TEN’ KWA MCHANGO WAO MKUBWA KWENYE KAMPENI HII