MHESHIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AONYESHA MFANO KWA KUSAJILI NAMBA YA SIMU, AONGEZA SIKU 20 MPAKA TAREHE 20 JANUARI 2020 KWA WALE AMBAO BADO HAWAJASAJILI NA AMBAO WANA DHARURA MBALIMBALI, ASIHI WENYE NAMBA ZA SIMU ZAIDI YA MOJA WASAJILI NAMBA ZOTE KWENYE MITANDAO YAO, AONYA BAADA YA KIPINDI HICHO NAMBA ZOTE AMBAZO HAZIPO KWENYE MFUMO WA USAJILI ZITASIMAMA KUFANYA KAZI, AAINISHA MFUMO WA USAJILI WA KIELEKTRONIKI NI KWA USALAMA WA WANANCHI WENYEWE KWA MIAMALA YAO YA KILA SIKU NA KWA MATUMIZI SALAMA NCHINI

magufuli 1

Kutoka Ikulu

MHESHIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AMJULIA HALI ALIYEWAHI KUWA KATIBU WAKE ALIPOKUWA MBUNGE KWA MIAKA 10 CHATO MKOANI GEITA

chato

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Bw. Gervace Stephano Makoye katibu wa CCm wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita alipomtembelea ili kumjulia hali nyumbani kwake Chato. Disemba 22, 2019. Bw. Makoye aliyewahi kuwa katibu wa Mhe. Magufuli kwa miaka 10 wakati akiwa Mbunge wa Chato anaendelea na matibabu nyumbani kwake katika Mtaa wa Kalema, Chato Mjini, Mkoani Geita.