Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akila kiapo cha kutumikia taifa kwa miaka mitano ijayo
Makamu wa Kwanza wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akila kiapo kutumikia taifa kwa miaka mitano ijayo, huku Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais mstaafu aliyemaliza awamu yake Mheshimiwa Mohammed Gharib Bilal wakishuhudia tukio hilo la kihistoria
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir bin Ali, akimpongeza Rais mpya
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki jimbo kuu la Dar es Salaam, Mheshimiwa Polycarp Kardinali Pengo, akimpongeza rais mpya
Mungu ibariki Tanzania, Viongozi na Watu wake. Amin.