MHESHIMIWA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA ZAMBIA MHESHIMIWA MUTALE NALUMANGO, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Zambia Mhe. Mutale Nalumango aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya kumbukumbu na Makamu wa Rais wa Zambia Mhe. Mutale Nalumango pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax, wa tatu kutoka kulia, akiwa pamoja na ujumbe wa Tanzania.