MHESHIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BUSTANI ZA MBOGAMBOGA ZILIZOKUWA ZIKILIMWA NA DADA YAKE HAYATI BI MONICA MAGUFULI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua bustani za mbogamboga mbalimbali zilizokuwa zikilimwa na Marehemu Dada yake Monica Magufuli katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua bustani za mbogamboga.

SWALA NA BARAZA LA EID EL-HAJJ (EID EL-ADH-HA) ILIYOFANYIKA KIZIMKAZI, MKOA WA KUSINI, UNGUJA

 Sehemu ya wananchi waliohudhuria katika Swala ya Eid el Hajj wakisikiliza Khutba iliyosomwa na Sheikh Abdalla Issa Makame (hayupo pichani) kutoka Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini,ambapo Viongozi wa Kitaifa walihudhuria katika  Swala hiyo iliyoswaliwa Kitaifa  katika Uwanja wa Jamhuri Makunduzi Mkoa wa Kusini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hassan Khatib Hassan  wakati alipowasili katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja leo kabla ya  Swala ya Eid  el Hajj,Kitaifa iliyoswaliwa katika Mkoa wa Kusini Unguja ambapo waislamu mbali mbali  walihudhuria
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisalimiana na Mashekhe wakati alipowasili katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja kabla ya  Swala ya Eid  el Hajj,Kitaifa iliyoswaliwa katika Mkoa wa Kusini Unguja ambapo waislamu mbali mbali katika Mkoa huo  walihudhuria
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kulia) akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali na Mashekhe wa Mkoa wa Kusini Unguja  katika swala ya Eid el Hajj,Kitaifa  iliyoswaliwa leo  katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja,ambapo Swala hiyo imeongozwa na Sheikh  Suleiman Haji Ibrahim
 Waislamu mbali mbali wa Mkoa wa Kusini Unguja  wakiwa katika swala ya Eid el Hajj,Kitaifa  iliyoswaliwa leo  katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi Wilaya ya Kusini,ambapo Sheikh  Suleiman Haji Ibrahim(hayupo pichani) aliongoza Swala hiyo,iliyohudhuriwa na Viongozi  wa Kitaifa akiwemo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
 Baadhi ya akinamama waliojumuika katika swala ya Eid el Hajj,Kitaifa iliyoswaliwa leo  katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini  Unguja
 Sheikh Abdalla Issa Makame (kulia) kutoka Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini Unguja akisoma Khutba mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Viongozi wengine pamoja na Waislamu wa Mkoa wa Kusini Unguja leo baada ya Swala ya Eid el Hajj,Kitaifa iliyoswaliwa katika uwanja wa Jamhuri Makunduchi
 Waislamu wakimsikiliza Sheikh Abdalla Issa Makame (hayupo pichani) kutoka Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini  akisoma Khutba ya Swala ya Eid el Hajj, mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Viongozi wengine pamoja na Waislamu wa Mkoa wa Kusini Unguja leo baada ya Swala hiyo iliyoswaliwa katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) pamoja na Viongozi wengine na Waislamu mbali mbali waliohudhuria katika Swala ya Eid el Hajj wakiitikia dua iliyoombwa na Sheikh Abubakar Ali Mohamed (wa pili kuilia) baada ya Swala hiyo iliyoswaliwa Kitaifa katika Mkoa wa Kusini Unguja   leo  katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi, Wilaya ya Kusini
 Askari wa Kikosi cha Polisi FFU wakitoa salamu ya Hesma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa  akipokea salamu hiyo ya heshma  katika  Sherehe  za Baraza la Eid el Hajj zilizofanyika leo  katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa  akipokea salamu ya heshma kwa gwaride maalum la kikosi cha Polisi FFU wakati wa Sherehe  za Baraza la Eid el Hajj zilizofanyika leo  katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa  akisalimiana na Wananchi na kuwatakia kheri na salama katika Sikukuu ya Eid el Hajj baada ya kutoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la EId El Hajj lililofanyika Leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa  akisalimiana na Wananchi na kuwatakia kheri na salama katika Sikukuu ya Eid el Hajj baada ya kutoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la EId El Hajj lililofanyika Leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa  akisalimiana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Wananchi na kuwatakia kheri na salama katika Sikukuu ya Eid el Hajj baada ya kutoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la EId El Hajj lililofanyika Leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la EId El Hajj lililofanyika Leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja
 Baadhi ya Viongozi na Wananchi wakiwa  katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja katika sherehe za Baraza la EId El Hajj lililofanyika Leo,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la EId El Hajj lililofanyika Leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja
 Viongozi wanawake wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa  akitoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la EId El Hajj lililofanyika Leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja
Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar Mohamed Hassan Haji (kulia) pamoja na Viongozi wengine wakiitikia dua iliyoobwa baada ya Hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein alipoitoa  katika sherehe za Baraza la EId El Hajj lililofanyika Leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja

MHESHIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA MAMIA YA WAKAZI WA CHATO KATIKA MAZISHI YA DADA YAKE BI MONICA JOSEPH MAGUFULI YALIYOFANYIKA LEO

INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAAJIO’UN

6 (2)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa kanisani katika Misa takatifu ya kumuombea Marehemu Dada yake Monica Magufuli. Wengine katika picha ni Mama yake Suzana Magufuli, Stanslaus Lori Madulu(Mme wa marehemu) , Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga pamoja na viongozi mbalimbali wa Kiserikali.
7
Baba Askofu mkuu Mwandamizi  Yuda Thaddeus Ruwaichi akiongoza Misa ya kumuombea Marehemu Monica Magufuli Chato mkoani Geita.

geitaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mama yake mzazi Suzana Magufuli wakati wakitoa heshma za mwisho katika jeneza lenye mwili wa Marehemu Dada yake Monica Magufuli nyumbani kwao katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.

2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za mwisho katika jeneza lenye mwili wa  Marehemu Dada yake Monica Magufuli nyumbani kwao katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.
8 (1)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Mkewe Mama Marry Majaliwa wakitoa heshma zao za mwisho katika jeneza lenye mwili wa Marehemu Monica Magufuli katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.
9
Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa akitoa heshma za mwisho katika jeneza lenye mwili wa Marehemu Monica Magufuli katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.
10
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshma za mwisho katika jeneza lenye mwili wa Marehemu Monica Magufuli katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.
3 (1)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsaidia  Mama yake mzazi Suzana Magufuli wakati wakuweka udongo ndani ya kaburi la Marehemu Dada yake Monica Magufuli nyumbani kwao katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.
4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka udongo ndani ya kaburi la Marehemu Dada yake Monica Magufuli nyumbani kwao katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita
mwinyi
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo katika kaburi la Monica Magufuli wakati wa Mazishi katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.
12
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo ndani ya kaburi la Monica Joseph Magufuli wakati wa mazishi yaliyofanyika katika kijijini cha Mlimani Chato mkoani Geita.
13
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua katika kaburi la Dada yake Monica Magufuli mara baada ya mazishi.