MWENYEKITI WA CCM TAIFA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU, KAMATI YAWAPOKEA WANACHAMA WAPYA WA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM

magufuliMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam leo tarehe 28 Februari 2020

Viongozi waandamizi watano kutoka vyama vya upinzani wakitambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wana CCM mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vincent Mashinji, aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro, aliyekuwa Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Mchungaji David Mwashilindi, aliyekuwa Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Bw. Katani Ahmed Katani na aliyekuwa Naibu Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Bw. Fanuel Kyanula
 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakitambulishwa na kuwakaribisha rasmi viongozi waandamizi kutoka vyama vya upinzani walioamua kujiunga na CCM wakati wa Kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho tawala katika Ofisi zake Ndogo mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020. Kutoka kushoto ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vincent Mashinji, aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro, aliyekuwa Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Mchungaji David Mwashilindi, aliyekuwa Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Bw. Katani Ahmed Katani na aliyekuwa Naibu Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Bw. Fanuel Kyanula 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na aliyekuwa Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Mchungaji David Mwashilindi, anayefuatiwa na aliyekuwa Naibu Meya wa jiji la Mbeya Bw. Fanuel Kyanula pamoja na aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro baada ya kutambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wa wanachama wa CCM mbele ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM klichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na aliyekuwa Naibu Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Bw. Fanuel Kyanula anayefuatiwa na aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro baada ya kutambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wanachama wa CCM mbele ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM klichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro baada ya kutambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wanachama wa CCM mbele ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM klichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam

MHESHIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA PROFESA PLO LUMUMBA; NA BWANA GÜNTER NOOKE MUWAKILISHI MAALUM WA AFRIKA WA WAZIRI MKUU WA UJERUMANI BI ANGELA MERKEL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Msomi na Mwanamajumui (Pan-Africanist) kutoka Kenya Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba (Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba) alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, 24 Februari 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Profesa PLO Lumumba, Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia zawadi ya kinyago cha Umoja, Profesa PLO Lumumba alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Bw. Günter Nooke, Muwakilishi Maalum wa Afrika wa Waziri Mkuu wa Ujerumani Bi. Angela Merkel alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, 24 Februari 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Bw. Günter Nooke, Muwakilishi Maalum wa Afrika wa Waziri Mkuu wa Ujerumani Bi. Angela Merkel, alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, 24 Februari 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia zawadi ya kinyago cha Umoja, Bw. Günter Nooke, Muwakilishi Maalum wa Afrika wa Waziri Mkuu wa Ujerumani Bi. Angela Merkel.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Bw. Günter Nooke na ujumbe wake, Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia, ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Ibuge