MHESHIMIWA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI KATIKA IBADA YA SWALA YA EID AL-ADH-HA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba jijini Dar es Salaam.